Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Aliyekuwa Mbunge wa Igunga,Dr. Dalali Kafumu-CCM amekaririwa akisema kuwa tayari ameshafanya maamuzi. Taarifa nilizonazo toka chanzo kilicho karibu na Dr. Kafumu zinasema kuwa uamuzi wenyewe ni wa kutokata Rufaa dhidi ya Hukumu ya Mahakama Kuu- Tabora iliyomvua Ubunge. 'Sina nia ya kukata rufaa na wala sitajihusisha kwa namna yoyote ile na rufaa itakayokatwa na yeyote' alisema Kafumu. ' Kuna watu wa ajabu sana...kwanini wanilazimishhe jambo nisilotaka?' alifoka Dr. Kafumu. Picha inaendelea...
Wakati aliyekuwa mbunge wa Igunga Bw Dalaly Peter Kafumu amesema hatakata rufaa kupinga hukumu iliyotengua "ushindi" wake wa ubunge, chama chake kupitia kwa Mwigulu Nchemba kimesema kitakata rufaa hiyo. Mwigulu amesema hivyo kwenye mikutano ya chama hicho inayoendelea jimboni Igunga wakati Kafumu ametoa tamko hilo alipohojiwa na Star Tv.
Source: Star Tv Habari.
My take: Mambo si shwari ndani ya ccm maana tangu Mwigulu aanze mikutano yake Igunga, Kafumu hajawahi kuonekana.
Tu'assume CCM ikishinda rufaa, kafumu atakataa kuwa Mbunge?
CCM wakitaka kupunguza makali ya aibu na kukataliwa mbele ya umma wa Watanzania, waacha kabisa kumtumia Mwigulu. Huyu mtu ni kero machoni na masikioni kwa kila mtu mwenye akili timamu.
Bora ameona haina maana kupigania kitu ambacho mwisho wa siku sidhani kama kitamlipa.
Kafumu hawezi kuvaa viatu vya Rostam Azizi
CCM wakitaka kupunguza makali ya aibu na kukataliwa mbele ya umma wa Watanzania, waacha kabisa kumtumia Mwigulu. Huyu mtu ni kero machoni na masikioni kwa kila mtu mwenye akili timamu.
Yes, akiwa boss wizara ya madini, kuna ushahidi alishirikiana na MAFISADIunamaanisha kuwa Kafumu naye alitakiwa kuwa fisadi??
read my signature...............Mkuu , msomi yeyote ataona hiyo ni typo.
Kuhusu signature yako, I always go the full distance katika mdahalo, debate, warsha au mada yoyte or otherwise, iliyoenda shule.
Stupidity and insinuations put me off.
Kumbe mbwembwe zote za Mwigulu Igunga hawajakata rufaa, labda wameenda kupima upepo kwanza.
Aibu imewapata! sasa wanachofanya ni kujibalaguza, hata wenyewe, wanajua hukumu ya yule jaji, ilikuwa sahihi, na wanajua kuwa hata kwenye rufaa hawatashinda, kwa hiyo wanachokifanya CCM, ni kile tunachoweza kukiita delaying tactics!!ccm WANAJUA WAKIPIGWA CHINI TENA iGUNGA WATASAMBARATIKA, AIBU TUPU
Mkuu tafadhali thibitisha hii statement yako, maana najiuliza mbona Arusha mjini Batilda hakufungua mashtaka na ile kesi ikaendelea kusikiizwa na Lema akapigwa chini? Au ni katika stage ya rufaa tu basi? Kama ni katika stage ya rufaa peke yake tukubaliane kuwa hiyo sheria inahitaji marekebisho.Kesi za uchaguzi ZINATAMKA WAZI kuwa pande 2 zinazoshtakiana NDIYO TU ZENYE HAKI YA KUKATA RUFAA!Dr Kafumu na Mwl Kashindye tu ndiye wenye haki ya kukata rufaa na wala sio CHADEMA au CCM; Dr Kafumu akikataa KUKATA RUFAA KESI NDIYO IMEISHA!
Mkuu tafadhali thibitisha hii statement yako, maana najiuliza mbona Arusha mjini Batilda hakufungua mashtaka na ile kesi ikaendelea kusikiizwa na Lema akapigwa chini? Au ni katika stage ya rufaa tu basi? Kama ni katika stage ya rufaa peke yake tukubaliane kuwa hiyo sheria inahitaji marekebisho.