Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Hivi mpenzi wako au mwenza wako anapokasiria umekuwa ukichelewa chelewa nyumbani na hivyo anakujia juu na kukuambia rudi huko huko kweli anafikiria nini? Hivi ukiamua kugeuza mlangoni na kwenda "huko huko" hadi kesho yake au mtondogoo anaweza kukulaumu? Lakini pia kwaninii tufike mahali mtu atamani usilale nyumbani kwako mwenyewe? Nini kitamfanya mtu awe anachelewa nyumbani namna hiyo hadi kumfanya mwenzie atamani arudi "huko huko".
Hivi kweli wanaume wakirudi huko "wanakotoka" familia zitasalimika? Hivi wapo wanaume wanaowaambia wake zao au wenza wao "wakalale huko huko"?
Vipi wale wanaowaambia watoto wao hivyo?
IMO nafikiri ni hasira mara nyingi... na mwanaume akikuta kua Mkewe anamuambia hivo ajue kabisa hamtendei haki for yaonesha wazi huyo mwanamke bado anampenda... For angekua hampendi angefungua mlango kimya kimya bila hata lawama... na lawama yaweza kua more of kumsumbua kumtoa kitandani kuliko sababu ya kuchelewa... hapa mume asishangae mkewe akichongesha funguo na kumkabidhi ili walau asisumbuliwe usiku....
Kuhusu why wanaume wanachelewa siku zoote kurudi... hapa sababu ni lukuki kwa kweli tokana na kwamba matatizo ya ndoa hu-vary from one to another... sababu ya kuchelewa yaweza kua sababu ya Mke ama Mme ama Wooote.
Bi Asha acha kutetea ukorofi,utamfungiaje nje mmeo eti ni mapenzi? What if anafukuzwa na majambazi,wakimuulia mlangoni utasemaje? unakumbuka kisa cha jamaa mmoja maarufu kwenye michezo aliyevunjika mguu akafa kisa anaruka ukuta aingie ndani baada ya mkewe kumfungia nje?ilitokea kimara mwaka juzi,do you remember that? Jamaa alikuwa mnyamwezi,last respects tulifanyia national stadium.
Nadhani unamaanisha Charles Masanja..ryte??...Sikuwa najua kama alifungiwa nje na mkewe!!!Bi Asha acha kutetea ukorofi,utamfungiaje nje mmeo eti ni mapenzi? What if anafukuzwa na majambazi,wakimuulia mlangoni utasemaje? unakumbuka kisa cha jamaa mmoja maarufu kwenye michezo aliyevunjika mguu akafa kisa anaruka ukuta aingie ndani baada ya mkewe kumfungia nje?ilitokea kimara mwaka juzi,do you remember that? Jamaa alikuwa mnyamwezi,last respects tulifanyia national stadium.
haya ndugu naona uliipania hii madaHivi mpenzi wako au mwenza wako anapokasiria umekuwa ukichelewa chelewa nyumbani na hivyo anakujia juu na kukuambia rudi huko huko kweli anafikiria nini?
Ni hasira hizo. Tabia imemkera kiasi kwamba anaona uende "hukohuko"!
Hivi ukiamua kugeuza mlangoni na kwenda "huko huko" hadi kesho yake au mtondogoo anaweza kukulaumu?
Yes. Atakulaumu kwa kuendeleza "irresponsibility"!
Lakini pia kwaninii tufike mahali mtu atamani usilale nyumbani kwako mwenyewe?
Very good question. Amependa tu kulala nje bila kujali consequences zake.
Nini kitamfanya mtu awe anachelewa nyumbani namna hiyo hadi kumfanya mwenzie atamani arudi "huko huko".
Affair....pombe....marafiki....labda ni watchman au muuguzi. Ana kazi za usiku...
Hivi kweli wanaume wakirudi huko "wanakotoka" familia zitasalimika?
Nope!
Hivi wapo wanaume wanaowaambia wake zao au wenza wao "wakalale huko huko"?
Yes! Tofauti ni ....pengine wengine wanarudi "huko huko" kama bado pako wazi. Wengine wanarudi kwa ndugu lawama ipungue nguvu.
Vipi wale wanaowaambia watoto wao hivyo?
Hasira pia! Tabia inakua imekithiri!
Bi Asha acha kutetea ukorofi,utamfungiaje nje mmeo eti ni mapenzi? What if anafukuzwa na majambazi,wakimuulia mlangoni utasemaje? unakumbuka kisa cha jamaa mmoja maarufu kwenye michezo aliyevunjika mguu akafa kisa anaruka ukuta aingie ndani baada ya mkewe kumfungia nje?ilitokea kimara mwaka juzi,do you remember that? Jamaa alikuwa mnyamwezi,last respects tulifanyia national stadium.
Wanaume bana!!!!!!! Hamkosi sababu... Usiku wa manane unarudi nyumbani kwako... cha ajabu nini kukimbizwa na majambazi?? lol
Hivi mpenzi wako au mwenza wako anapokasiria umekuwa ukichelewa chelewa nyumbani na hivyo anakujia juu na kukuambia rudi huko huko kweli anafikiria nini? Hivi ukiamua kugeuza mlangoni na kwenda "huko huko" hadi kesho yake au mtondogoo anaweza kukulaumu? Lakini pia kwaninii tufike mahali mtu atamani usilale nyumbani kwako mwenyewe? Nini kitamfanya mtu awe anachelewa nyumbani namna hiyo hadi kumfanya mwenzie atamani arudi "huko huko".
Hivi kweli wanaume wakirudi huko "wanakotoka" familia zitasalimika? Hivi wapo wanaume wanaowaambia wake zao au wenza wao "wakalale huko huko"?
Vipi wale wanaowaambia watoto wao hivyo?
hahahahaaa Bishanga bana! Kwa hiyo akivamiwa akiwa njiani ndo itapendeza? Halafu huyo aliyeruka ukuta alijitakia mwenyewe for alijitia kuyaweza manyanga (sad), angepungukiwa nini endapo angejifanya mpole ili afunguliwe mlango? Au kwa nini asingeenda kulala hata kwa ndugu??