Ruby!!ruby.natafuta soko

Ruby!!ruby.natafuta soko

lesere

Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
14
Reaction score
0
Habari wana Bodi.Mimi ni mkazi wa Arusha na ninatafuta Soko la RUBY.Its a pure Ruby na ya kiwango kikubwa
iko kwenye mfafanuo kama ifuatavyo;

Block 100 kgs
Kapishon 20 kgs
Sociate 20 tonnes.

Tafadhali kama kuna mnunuzi yuko tayari kwa ajili ya biashara,anipm au just comment below the alert afu nitamcheki
or incase you know someone/somewhere they can buy,pls check me up!!!
Ahsante
 
habari soko mm ninalo? ila nataka kujua hyo ruby ya wapi ya longido au....ntakupa contact yangu
 
kaka unajua thaman ya hiyo bidhaa?! any way muone sunda
 
Hyo rubi yawapi..nakm uko arush mbona kuna soko kubwa sna hapo..unaelewa thamani ya rubi?
 
Hyo rubi yawapi..nakm uko arush mbona kuna soko kubwa sna hapo..unaelewa thamani ya rubi?km huelew ni pm nikueleweshe
 
Hii ruby ya wapi kg 100 si unanunua mitaa au hujui usemalo.ruby ya namna gani kwa kilo wakti ruby ni gram mimi na uzoefu wangu cjawahi ona ruby jiwe la 30gram or 40gram.

Ruby inakua gram 1 mpka 5 ni mara chache kupata size kubwa, tanzanite ndio unaweza pata kubwa hebu wadau mtafutieni mteja
 
Ruby ya longido na maelezo niliyoyatoa ni ya kweli.
 
Hakuna ruby kubwa hyo nakm nikweli wew n bilionea.. embu nichek hapa 0752260789 nipo hapa arusha.tuonane asubuhi.
 
ni kweli kna ruby za blocks hko longido ni kawaida kuea na hzo kilo....ila syo gemm kbisa...ma kaboshon kaka
 
nipe kontakt yako tfanye biashsra mkuuuu
 
Either you are not serious or you do not know what you are talking about. Hela yake ni sawa na kuinunua sinza yote na bar zote mpaka meeda mpaka mugabe mpaka mapambazuko bar bila kusahau magorofa
 
bategereza,I DONT MAKE JOKES INTO WHAT GIVES ME A LIVING,AM NOT OF THAT KIND..THATS WHY I BROUGHT THE ISSUE HERE.I know what am talking about and for the guys walioko Longido,ni issue ya kawaida sana kg na bloks kuwepo.
 
Last edited by a moderator:
Either you are not serious or you do not know what you are talking about. Hela yake ni sawa na kuinunua sinza yote na bar zote mpaka meeda mpaka mugabe mpaka mapambazuko bar bila kusahau magorofa

HUENDA ANAZUNGUMZIa RUBY ARTSTONE-PROBALY RUBy IN ZOISITE AU TSAVORITE
 
Hyo biashar inawadau wengi but wakweli wachache Mi nawajua any way tuwasiliane 0682/0717111011
 
Mtafute jamaa mmoja anaitwa Sospeters Muhongo..ila kuwa makini asikuletee kalasinga
 
Back
Top Bottom