Ruby!!ruby.natafuta soko

Ruby!!ruby.natafuta soko

Habari wana Bodi.Mimi ni mkazi wa Arusha na ninatafuta Soko la RUBY.Its a pure Ruby na ya kiwango kikubwa
iko kwenye mfafanuo kama ifuatavyo;

Block 100 kgs
Kapishon 20 kgs
Sociate 20 tonnes.

Tafadhali kama kuna mnunuzi yuko tayari kwa ajili ya biashara,anipm au just comment below the alert afu nitamcheki
or incase you know someone/somewhere they can buy,pls check me up!!!
Ahsante

Nitafute haraka sana. just PM
 
Mkuu upo mbona tumepoteana ntafute bidhaa yako inahitajika sana

Ova
 
Back
Top Bottom