Rubada

Rubada

Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Posts
699
Reaction score
180
Habari wadau....
Niliomba kazi RUBADA(RUFIJI BASIN DEVELOPMENY AUTHORITY) napenda kujua mwenye taarifa kama wameshaita...
 
Ndiyo kwanza Jumanne wiki iliyopita walikuwa wanazitoa zile application kwenye bahasha,lakini hata hivo kuna makanganyiko. Kwa hiyo kaa mkao wa kula, ila si unajua mambo ya serikalini unaweza ukashangaa mtu anahitajika mwezi wa saba mwa 2014 yaani baada ya kombe la dunia kule Brazil
 
Back
Top Bottom