Ruaha: Mwenyekiti wa kijiji atangaziwa polisi

Baada ya wananchi wiki iliyopita kuandamana kwa kumkataa mwenyekiti wa kijiji aliyeteuliwa na CCM kukabidhiwa ofisi, hatimaye leo mkurugenzi wa wilaya pamoja na mkuu wa wilaya ya Kilosa wamemteua na kumtangaza mwenyekiti wa kijiji katika kituo cha polisi cha Ruembe K2, badala ya kwenda kumtangaza kwa wananchi.

Nimeongea na wananchi wa Ruaha wanasema huyo ni mwenyekiti wa kijiji wa polisi na si wa wananchi.

Nawasilisha.

Polisi kwa sasa wana kazi kubwa sana, sijui watajigawa vipi, maana CCM imekabwa vibaya
 
Tuna uchaguzi mdogo wa udiwani kwenye kata husika na hapo ndio ccm watajutishwa kwa adhabu kali watakayopewa na umma.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ukistaajabu ya Musa...
na siku anaitisha mkutano wa kijiji ataitishia polisi??
 
Muda si mrefu uliopita, Viongoz wa ccm chini ya Mkuu wa wilaya ya Kilosa wamemtawaza Ndugu Kisaluni kuwa mwenyekiti wa kijiji, kinyume na Kanuni za uchaguz wa serikali za mitaa. Zoez hilo limefanyika mbele ya zaidi ya polis 50 katka kituo cha polis Ruhembe. Tangu uchaguz ufanyike kwa kumuengua mgombea wa chadema bila sababu, wananchi wameapa kumkataa mccm huyo kupitia mkutano mkuu. Hata hivyo kwa mujibu wa kanuni za uchaguz wa mitaa, tayari siku 7 zimepita tangu tarehe ya uchaguz 28/04. hivyo mwenyekit huyo hana uhalali.
DURU ZA NDANI zinasema kawaida kiwanda cha sukari hutoa mamilion kwa maendeleo na hivyo ccm wamefanya juu chini kumweka mtu wao ili wapige pesa. Nitawaupdate.
SOURCE: Me
 
DO mambo mengine masihara kweli, ataoongoza vipi watu wasiomkubali hii ni hatari kwake na familia yake kwa ujumla.Taabu kweli kweli.
 
Baada ya wananchi wiki
iliyopita kuandamana kwa kumkataa mwenyekiti wa kijiji aliyeteuliwa na
CCM kukabidhiwa ofisi, hatimaye leo mkurugenzi wa wilaya pamoja na mkuu
wa wilaya ya Kilosa wamemteua na kumtangaza mwenyekiti wa kijiji katika
kituo cha polisi cha Ruembe K2, badala ya kwenda kumtangaza kwa
wananchi.

Nimeongea na wananchi wa Ruaha wanasema huyo ni mwenyekiti wa kijiji wa
polisi na si wa wananchi.

Nawasilisha.

Jaman hi ndo Ruah yetu na hiyo ndo ccm yao!
 
Je mnajua kuna mpango kabambe wa kuhamashisha wananchi na viongozi wa vijiji kutolewa madarakani lil waingize wengine wenye mrengo tofauti wa kisiasa kwa manufaa Yao.
 
DO mambo mengine masihara kweli, ataoongoza vipi watu wasiomkubali hii ni hatari kwake na familia yake kwa ujumla.Taabu kweli kweli.

Sio mbaya, lakin mwenykt hana nyumba, ni mpangaji tu, anafanya kaz katka mabasi ya moro best, ni utingo...
 
Wanajaribu kuzuia wimbi linaloshuka kuikomboa mikoa ya kusini, waelewa nguvu kubwa ktk ku oppress ina lead to nguvu kubwa katika uhasama.

hakuna anaye jaribu ku oppress., wananchi wangejua ukweli kuhusu siasa chafu zetu na ukweli juu ya viongozi wao na uwakilishi was dhati kwa maslahai ya nchi na wananchi, haya wote yanao andikwa yasingekuepo.
Lini tumeona mazuri yakaandikwa?
 
Hii kali,hawa jamaa sizani kama 2015 watakabidhi nchi kwa chadema kama wanaweza kum impose m/kiti wa kijiji kwa wananchi,sembuse rais wa nchi..
 
Kwa nini mkurugenzi,DC hawataki uchaguzi ufanyike upya?kwa watu kuchukua fomu za kugombea kisha kura ipigwe?hivi inamaana ruaha kweli wapo wana ccm tuu ambao wenye uwezo wa kuwa wenyeviti wa kijiji?VIONGOZI WA KITAIFA CDM MNASHUGHUKIKIAJE TATIZO HILI?
 
Back
Top Bottom