Wadai anayejua software ya blackberry ambayo naweza ku-subscribe kwenye rss feeds kama jamiiforums naomba anisadie..Nimejaribu kudownload kadhaa naona nikiweka url ya jamiiforums naambiwa haitambuliki..
Ahsanteni
Unatumia blackberry gani mdau? Blackberry zenye os6 kuendelea zina application ya social feeds, ambapo unaweza kupata rss feeds tena by simply writing the url jamiiforums.com