Huyu Headmaster ni wa siku nyingi,,, ila baada ya kutoka Malangali alienda Mzumbe high school then akateuliwa kuwa afisa elimu secondary Mbeya City Council,,, mara elimu secondary zilipopelekwa Serikali za mitaa,,,, sijui kama ndio huyo kwa cv hyoSeme ambaye alishakuwa Kigonsera na Lindi secondary au yupi?
ni sawa,lkn mtumiwa huulizwa ni kweli au si kweli? ndo ushaid unaanza kutafutwa,lkn huyu kamanda kashaconclude kabsaAcha kumwita mwenzio bwege jombaa...umewahi kuhudhuria mahakamani hata siku moja!!? Mtuhumiwa anaposomewa hati ya mashtaka huwa inaeleza hivyo..kwamba wew mwmbeki unashtakiwa kuwa mnamo tarehe hiyo muda huo sehem fulan uliiba tv flat screen yenye thaman hiyo mali ya rip faza_nelly kitendo ambacho ni kosa kisheria. Je huwa wanakosea kusema hivyo na pale ni mahakaman tena mbele ya hakimu??? Haijalishi umeiba kwel or hujaiba
ndo huyo huyo kk,m mwenyewe sikumkuta hapo shulen lkn CV yake ndo hiyo..malangali ilikuwa na mafanikio makubwa enzi zake baada ya kuondoka tu mambo yakabadilikaHuyu Headmaster ni wa siku nyingi,,, ila baada ya kutoka Malangali alienda Mzumbe high school then akateuliwa kuwa afisa elimu secondary Mbeya City Council,,, mara elimu secondary zilipopelekwa Serikali za mitaa,,,, sijui kama ndio huyo kwa cv hyo
your too low . Fafanua hapo kwanzaNdugu yangu nadhani unatakiwa kurudi darasani maana unaonyesha ulivyo uwezo wako mdogo wa kuandika na hata kujieleza kwako(Your too low) aibu kabisa .Hakuna ulichoandika kuhusu huo udhalilishaji ulioupa hiyo heading.
Ona sasa nawewe unavyochemka. Eti "your too low". Hahahahaha. Mkuu tumia kiswahili tu utaumbuka hapa kuna wasomi wanakuangalia tuNdugu yangu nadhani unatakiwa kurudi darasani maana unaonyesha ulivyo uwezo wako mdogo wa kuandika na hata kujieleza kwako(Your too low) aibu kabisa .Hakuna ulichoandika kuhusu huo udhalilishaji ulioupa hiyo heading.
Japo nukuu?Huyu jamaa kanichekesha siku nzima. Tunapoelekea neno "i love u" itapigwa marufuku. Nchema dhibiti huyu mtu
Lazima lipingwe kwani halina maana tena. Agizo la kulifuta na usimamizi wake utafanywa na polisi. Leo ni tarehe 09/04 wote walioambiwa "I Love You" kisha kutungishwa mimba na kukimbiwa, wanakutana ofisini kwa The Great RC PCM @ DAB. Ktk mkutano ambao sentensi "I Love You" itapigwa marufuku na kukatazwa kutumika tena.
Bazazi
Mmmmh sawa mkuuLazima lipingwe kwani halina maana tena. Agizo la kulifuta na usimamizi wake utafanywa na polisi. Leo ni tarehe 09/04 wote walioambiwa "I Love You" kisha kutungishwa mimba na kukimbiwa, wanakutana ofisini kwa The Great RC PCM @ DAB. Ktk mkutano ambao sentensi "I Love You" itapigwa marufuku na kukatazwa kutumika tena.
Bazazi
Tupo katikati ya sudusi ya pili ya siku nzimaMkuu hivi itakuwa ni saa ngp
Hiyo kauli nikiikumbuka najikuta nacheka mwenyeweEti mbona hujaandika kimakonde,wamakonde wanajua I love you.......utawala huu una vituko