RPC-Arusha unalijua hili?

RPC-Arusha unalijua hili?

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
1,797
Reaction score
2,410
Juzi nikiwa kwenye shughuli zangu hapo Arusha, nilipatwa na mshangao wa mwaka kwa jinsi tapeli anayetafutwa na dola akirandaranda mtaani bila kukamatwa. Issue yenyewe ilikuwa hivi. Kuna mtalii moja raia wa Marekani alifika Arusha akitokea Zanzibar na akafikia hoteli niliyokwepo karibu na hospitali ya Siriani. Alipokelewa KIA na jamaa aliyewasiliana naye kuwa anatoka kampuni ya Green African Tours Tanzania na kumleta hoteli. Mtalii alimlipa jamaa $1,650 kama gharama ya booking ya hoteli na kumpeleka camping kwa siku 3. Mtalii akagikishwa hoteli na kuambiwa wanafuatwa wenzake kama wanne ili waje walale pale hotelini kwa kuwa ameshawafanyia booking ili kesho yake waondoke pamoja kwenda camping. Jamaa hakurudi na baada ya mtalii kuuliza kama kuna booking ya wageni wengine 4 iliyowekwa na jamaa akajibiwa hakuna.Hapo ndo mtalii akajua amepigwa, namba ya simu za kwenye business card hazikupatikana. Tukamshauri mtalii aripoti polisi. Alipofika pale akakuta picha ya jamaa WANTED. Nikajiuliza inawezekanaje mtu WANTED anaweza kujivinjari kwenda KIA kumpokea mmgeni kumleta mjini na kuendelea ma mishemishe zake bila hata kukamatwa.
 
Intelegensia ya jeshi letu la police inafanya mazi kwenye maandamano ya siasa tu huko ndio ilipobobea
 
wamebaki kimbizana na chadema tu, usije ukashangaa ukiambiwa wako njiro wanazuia watu kwena kwa Mh. Lema kumpa pole ya msiba, policcm zi furushi i mzigo.
 
Anaitwa clemens muta (maarufu baba ray )polisi wanamfahamu sana hata rco aliyepofuka kwa dhambi za kuuwa watu wasio na hatia duwani nyanda anamfahamu.
 
Back
Top Bottom