RPC Arusha, kwanini Lema hachukuliwi hatua?

Mbona askari anapouwawa hamsemi , shame on u wote mnaopondea polisi, polisi wanafanya kazi yao vizuri sana, Bila polisi unadhani pangekalika, muwe na huruma, wakati nyie mmelala usiku na wake zenu au waume zenu, wao ndio kwanza wapo nje kulinda usalama wenu, ifike mahala tuwe na uzalendo, hawa jamaa wanafanya kazi kubwa sana kuliko idara yoyote serikalini tofauti na vyombo vingine vya ulinzi, Nakupongeza sana IGP ernest mangu kwa kazi nzur, umelifanya jeshi kuwa la kisasa
 
We ngoshanyi unaonesha ww nimsukuma ambae hujitambui ww unafurahia polisi na ccm wanavyo wafanyia RAIA wenzio
 
MKUTANO ARUSHA MH.LEMA.

Lema:
Ndugu zangu mawazo ameuawa, na anayefuata ni wewe ni mimi.
Mawazo ameuawa na green guard kwa sababu polisi wanawaogopa green guard.
Wiki moja iliyopita, rpc wa Arusha aliagiza kwenye kikao mimi kuvunjwa miguu

Lema,
Anameita mke wake, anamwambia akisikia amekufa, atafute ada kwa wananchi.
Leo Mawazo amemwacha mke na mtoto mdogo, ameuawa kwa mapanga wakati siyo mwizi. Wamemwua Mawazo na watawaua na wengine kwasababu dola inawaogopa green guard

Mawazo alikuwa anatoka kwenye kampeni, gree guard wakamvamia wakampiga mapanga akapelekwa hospitali amefariki dunia.
Mimi rpc alitaka kuniua Arusha

Green guard wanawapiga watu wetu polisi hawachukui hatua

Anazungumza Mh Lema, mbunge wa Arusha mjini

Lema:
Mwaka jana kwenye uchaguzi mdogo tulipeleka mashtaka ya kutosha lkn cha kushangaza hakuna hata kesi moja iliyoenda polisi.
Sikilizeni Arusha, huu ni wakati wa kutetea maisha yetu..

Lema,
Wanaopanga uovu ni serikali mkuu wa mkoa mkuu wa polisi

Lema:
Rpc ukinikamata niue kabisa, ukiniacha hai nitabadilisha nchi hii

Lema,
Nyie polisi wake zenu mama zenu watoto wenu hawaishi vituoni, mnatutisha na magari barabarani na silaha barabarani, umma huu ukichoka hamtaweza kuishi mitaani

huu ni ushahidi tosha RPC chukua hatua.

Acha tabia za kike.

Ushahidi gani upo hapo kama sio ujinga tu umeuweka.
 
Mbona askari anapouwawa hamsemi , shame on u wote mnaopondea polisi, polisi wanafanya kazi yao vizuri sana, Bila polisi unadhani pangekalika, muwe na huruma, wakati nyie mmelala usiku na wake zenu au waume zenu, wao ndio kwanza wapo nje kulinda usalama wenu, ifike mahala tuwe na uzalendo, hawa jamaa wanafanya kazi kubwa sana kuliko idara yoyote serikalini tofauti na vyombo vingine vya ulinzi, Nakupongeza sana IGP ernest mangu kwa kazi nzur, umelifanya jeshi kuwa la kisasa
Kwa traffic kupokea rushwa hadharani?Amelifanya

kuwa a KISASA au la KISIASA?
 
Natoa ushauri kwa IGP kuangalia hatari kubwa inayoweza kutokea jijini arusha. viongozi kumtukana RPC kisha wasiitwe kuhojiwa ni dharau kwa jeshi la polisi. mm kama RAIA sikubaliani na utendaji wa RPC arusha kwa kuendelea kuwapa jeuri ya kuropoka badala kukabiliwa na mkono wa sheria.
RPC kwa nn lema hajaitwa polisi kwa hatua?

cc RPC arusha
cc IGP Ernest Mangu
Nauza sumu, ulisema unahitaji kiasi gani vileeee???
 
MKUTANO ARUSHA MH.LEMA.

Lema:
Ndugu zangu mawazo ameuawa, na anayefuata ni wewe ni mimi.
Mawazo ameuawa na green guard kwa sababu polisi wanawaogopa green guard.
Wiki moja iliyopita, rpc wa Arusha aliagiza kwenye kikao mimi kuvunjwa miguu

Lema,
Anameita mke wake, anamwambia akisikia amekufa, atafute ada kwa wananchi.
Leo Mawazo amemwacha mke na mtoto mdogo, ameuawa kwa mapanga wakati siyo mwizi. Wamemwua Mawazo na watawaua na wengine kwasababu dola inawaogopa green guard

Mawazo alikuwa anatoka kwenye kampeni, gree guard wakamvamia wakampiga mapanga akapelekwa hospitali amefariki dunia.
Mimi rpc alitaka kuniua Arusha

Green guard wanawapiga watu wetu polisi hawachukui hatua

Anazungumza Mh Lema, mbunge wa Arusha mjini

Lema:
Mwaka jana kwenye uchaguzi mdogo tulipeleka mashtaka ya kutosha lkn cha kushangaza hakuna hata kesi moja iliyoenda polisi.
Sikilizeni Arusha, huu ni wakati wa kutetea maisha yetu..

Lema,
Wanaopanga uovu ni serikali mkuu wa mkoa mkuu wa polisi

Lema:
Rpc ukinikamata niue kabisa, ukiniacha hai nitabadilisha nchi hii

Lema,
Nyie polisi wake zenu mama zenu watoto wenu hawaishi vituoni, mnatutisha na magari barabarani na silaha barabarani, umma huu ukichoka hamtaweza kuishi mitaani

huu ni ushahidi tosha RPC chukua hatua.
Unamfundisha kazi???!!!!!!
 
lema anapenda ubabe polisi msicheke nae ni mkong'oto tu. apigwe tu manake hamna namna
 
Natoa ushauri kwa IGP kuangalia hatari kubwa inayoweza kutokea jijini arusha. viongozi kumtukana RPC kisha wasiitwe kuhojiwa ni dharau kwa jeshi la polisi. mm kama RAIA sikubaliani na utendaji wa RPC arusha kwa kuendelea kuwapa jeuri ya kuropoka badala kukabiliwa na mkono wa sheria.
RPC kwa nn lema hajaitwa polisi kwa hatua?

cc RPC arusha
cc IGP Ernest Mangu

ushabwia bwimbwi??
 
MKUTANO ARUSHA MH.LEMA.

Lema:
Ndugu zangu mawazo ameuawa, na anayefuata ni wewe ni mimi.
Mawazo ameuawa na green guard kwa sababu polisi wanawaogopa green guard.
Wiki moja iliyopita, rpc wa Arusha aliagiza kwenye kikao mimi kuvunjwa miguu

Lema,
Anameita mke wake, anamwambia akisikia amekufa, atafute ada kwa wananchi.
Leo Mawazo amemwacha mke na mtoto mdogo, ameuawa kwa mapanga wakati siyo mwizi. Wamemwua Mawazo na watawaua na wengine kwasababu dola inawaogopa green guard

Mawazo alikuwa anatoka kwenye kampeni, gree guard wakamvamia wakampiga mapanga akapelekwa hospitali amefariki dunia.
Mimi rpc alitaka kuniua Arusha

Green guard wanawapiga watu wetu polisi hawachukui hatua

Anazungumza Mh Lema, mbunge wa Arusha mjini

Lema:
Mwaka jana kwenye uchaguzi mdogo tulipeleka mashtaka ya kutosha lkn cha kushangaza hakuna hata kesi moja iliyoenda polisi.
Sikilizeni Arusha, huu ni wakati wa kutetea maisha yetu..

Lema,
Wanaopanga uovu ni serikali mkuu wa mkoa mkuu wa polisi

Lema:
Rpc ukinikamata niue kabisa, ukiniacha hai nitabadilisha nchi hii

Lema,
Nyie polisi wake zenu mama zenu watoto wenu hawaishi vituoni, mnatutisha na magari barabarani na silaha barabarani, umma huu ukichoka hamtaweza kuishi mitaani

huu ni ushahidi tosha RPC chukua hatua.

Elimu, Elimu, Elimu ........!!!! Wanapo sema hivyo hawamaanishi ni Elimu ya kusoma na kuandika kama tuliyopewa na CCM!!!
 
Naona wachangiaji wengi mnsifia Lema na kumvimbisha kichwa aendeleee tuuu kuvimba siku zake zinahesabika akae mkae mkao Wa kulia kichwa
 
Kwani si ni kweli polisi wanawaogopa green guard banyamulenge. Mbona lema akienda kushtaki hakuna hatua zinachukuliwa.
 
Back
Top Bottom