RPC Arusha, kwanini Lema hachukuliwi hatua?

MKUTANO ARUSHA MH.LEMA.

Lema:
Ndugu zangu mawazo ameuawa, na anayefuata ni wewe ni mimi.
Mawazo ameuawa na green guard kwa sababu polisi wanawaogopa green guard.
Wiki moja iliyopita, rpc wa Arusha aliagiza kwenye kikao mimi kuvunjwa miguu

Lema,
Anameita mke wake, anamwambia akisikia amekufa, atafute ada kwa wananchi.
Leo Mawazo amemwacha mke na mtoto mdogo, ameuawa kwa mapanga wakati siyo mwizi. Wamemwua Mawazo na watawaua na wengine kwasababu dola inawaogopa green guard

Mawazo alikuwa anatoka kwenye kampeni, gree guard wakamvamia wakampiga mapanga akapelekwa hospitali amefariki dunia.
Mimi rpc alitaka kuniua Arusha

Green guard wanawapiga watu wetu polisi hawachukui hatua

Anazungumza Mh Lema, mbunge wa Arusha mjini

Lema:
Mwaka jana kwenye uchaguzi mdogo tulipeleka mashtaka ya kutosha lkn cha kushangaza hakuna hata kesi moja iliyoenda polisi.
Sikilizeni Arusha, huu ni wakati wa kutetea maisha yetu..

Lema,
Wanaopanga uovu ni serikali mkuu wa mkoa mkuu wa polisi

Lema:
Rpc ukinikamata niue kabisa, ukiniacha hai nitabadilisha nchi hii

Lema,
Nyie polisi wake zenu mama zenu watoto wenu hawaishi vituoni, mnatutisha na magari barabarani na silaha barabarani, umma huu ukichoka hamtaweza kuishi mitaani

huu ni ushahidi tosha RPC chukua hatua.
Kitu gani alichoongea Lema hapo ambacho ni cha uongo?
Kwani hujui kuwa wapo watu hapa nchini ambao wako above law?
Kwani hamjaona namna watawala kule Zanzibar walivyomlazimisha Jecha kufuta uchaguzi wa Zanzibar ambapo mamlaka hayo hana kisheria na ambapo wamesababisha nchi iingie kwenye mtafaruku mkubwa?
 
Natoa ushauri kwa IGP kuangalia hatari kubwa inayoweza kutokea jijini arusha. viongozi kumtukana RPC kisha wasiitwe kuhojiwa ni dharau kwa jeshi la polisi. mm kama RAIA sikubaliani na utendaji wa RPC arusha kwa kuendelea kuwapa jeuri ya kuropoka badala kukabiliwa na mkono wa sheria.
RPC kwa nn lema hajaitwa polisi kwa hatua?

cc RPC arusha
cc IGP Ernest Mangu

Jingalao
 
Kamkamate wewe umpeleke kwa huyo RPC
 
Waendetu kutuua kaki sikuzao zinahebika nchi hii wataikimbia kwani Wao niwachache Dana kwetu wape amani
 
MKUTANO ARUSHA MH.LEMA.

Lema:
Ndugu zangu mawazo ameuawa, na anayefuata ni wewe ni mimi.
Mawazo ameuawa na green guard kwa sababu polisi wanawaogopa green guard.
Wiki moja iliyopita, rpc wa Arusha aliagiza kwenye kikao mimi kuvunjwa miguu

Lema,
Anameita mke wake, anamwambia akisikia amekufa, atafute ada kwa wananchi.
Leo Mawazo amemwacha mke na mtoto mdogo, ameuawa kwa mapanga wakati siyo mwizi. Wamemwua Mawazo na watawaua na wengine kwasababu dola inawaogopa green guard

Mawazo alikuwa anatoka kwenye kampeni, gree guard wakamvamia wakampiga mapanga akapelekwa hospitali amefariki dunia.
Mimi rpc alitaka kuniua Arusha

Green guard wanawapiga watu wetu polisi hawachukui hatua

Anazungumza Mh Lema, mbunge wa Arusha mjini

Lema:
Mwaka jana kwenye uchaguzi mdogo tulipeleka mashtaka ya kutosha lkn cha kushangaza hakuna hata kesi moja iliyoenda polisi.
Sikilizeni Arusha, huu ni wakati wa kutetea maisha yetu..

Lema,
Wanaopanga uovu ni serikali mkuu wa mkoa mkuu wa polisi

Lema:
Rpc ukinikamata niue kabisa, ukiniacha hai nitabadilisha nchi hii

Lema,
Nyie polisi wake zenu mama zenu watoto wenu hawaishi vituoni, mnatutisha na magari barabarani na silaha barabarani, umma huu ukichoka hamtaweza kuishi mitaani

huu ni ushahidi tosha RPC chukua hatua.

Sasa hapo uchochezi ni upi ? Kumbe siku hizi ukisema ukweli ni uchochezi? Wewe green guard acha kuzungumza kwa kutumia masaburi !
 
Waliomtesa Ulimboka ni akina nani na walichuliwa hatua gani?

Polisi aliyemuua Mwangosi hukumu yake ilikuwaje?

Polisi wanaotumia risasi za moto na kuua raia kwa sababu nyepesi, hatua gani zinachukuliwa kukomesha hali hiyo?

Ameuwawa Mawazo, kauli gani imetolewa na vyombo vya dola kuzungumzia jambo hilo?

Kama hayo yote hapo juu hayana majibu ya kuridhisha, anayestahili kufunguliwa mashitaka ni viongozi wanaosimamia dola.

"Kumpiga mwanao anayekuambia umalaya unaofanywa na mmeo/mkeo kwa kisingizio cha mtoto kukosa adabu hakuondoi aibu umalaya kwenye ndoa"

Mkuu aliyemteka na kumtesa ulimboka sasahivi ni RPC, amezawadiwa cheo baada ya kutimiza matakwa ya ccm
 
MKUTANO ARUSHA MH.LEMA.

Lema:
Ndugu zangu mawazo ameuawa, na anayefuata ni wewe ni mimi.
Mawazo ameuawa na green guard kwa sababu polisi wanawaogopa green guard.
Wiki moja iliyopita, rpc wa Arusha aliagiza kwenye kikao mimi kuvunjwa miguu

Lema,
Anameita mke wake, anamwambia akisikia amekufa, atafute ada kwa wananchi.
Leo Mawazo amemwacha mke na mtoto mdogo, ameuawa kwa mapanga wakati siyo mwizi. Wamemwua Mawazo na watawaua na wengine kwasababu dola inawaogopa green guard

Mawazo alikuwa anatoka kwenye kampeni, gree guard wakamvamia wakampiga mapanga akapelekwa hospitali amefariki dunia.
Mimi rpc alitaka kuniua Arusha

Green guard wanawapiga watu wetu polisi hawachukui hatua

Anazungumza Mh Lema, mbunge wa Arusha mjini

Lema:
Mwaka jana kwenye uchaguzi mdogo tulipeleka mashtaka ya kutosha lkn cha kushangaza hakuna hata kesi moja iliyoenda polisi.
Sikilizeni Arusha, huu ni wakati wa kutetea maisha yetu..

Lema,
Wanaopanga uovu ni serikali mkuu wa mkoa mkuu wa polisi

Lema:
Rpc ukinikamata niue kabisa, ukiniacha hai nitabadilisha nchi hii

Lema,
Nyie polisi wake zenu mama zenu watoto wenu hawaishi vituoni, mnatutisha na magari barabarani na silaha barabarani, umma huu ukichoka hamtaweza kuishi mitaani

huu ni ushahidi tosha RPC chukua hatua.

Ushahidi wa kiti gani we nduku
 
Ata mimi sitakufa bila kummaliza uvccm mmoja au angalau balozi wa mtaa wa ccm
 
Amesema wananchi wakichoka......ndipo polisi watashindwa kuishi mitaani. Je wananchi wameshachoka?
 
umezoea kuishi kwa uwongo na woga
 
Mkuu, hapo huyo jamaa ametukana wapi? Au ni kosa kuzieleza hisia zake kwa kile yeye anachokiona?
 
Ss naamini alichoniambia rafiki yangu kuwa ukiwa upinzan ktk hii nchi ya ni sawa na kutenda dhambi ya mauti
 
Nawasiwasi NA connection ya modulaoblangata NA muuliza swali anyway ngoja wenye kujibu waje
 
Back
Top Bottom