Royal Tour: Wacheni Tuseme Ukweli

Royal Tour: Wacheni Tuseme Ukweli

Wazo lilikuwa zuri, lakini mleta wazo katuzidi ujanja.

Unapotengeneza filamu ambayo ni andishi la kitaaluma na kibiashara,tulipaswa kutanguliza taaluma zaidi kuliko siasa.

Mwanasiasa anaweza kukumbwa na kashfa au dosari za kiuongozi na kupelekea kupoteza soko kusudiwa baada ya kususiwa kote ilikotangawzwa na kuvuma. Huo ndio utamaduni wa wazungu.

Tulipaswa pia kuzilenga taasisi kubwa zilizobobea katika taaluma hiyo Duniani kama vile National Geographic au Animal Planet ambazo tayari zinajiendesha kupitia Vituo vyao binafsi vya kurushia Documentary zao Dunia nzima. Na zinaangaliwa na mamilioni ya watu Duniani kila siku.

Huyu Peter Greenbag hana Impact kubwa Duniani kama ambavyo ametuingiza mkenge kumdhania. Unaweza kutafakari hilo kwa kujiuliza aina ya watu ambao wamehudhuria uzinduzi wake huko Marekani.

Pia jiulizeni kwamba,inakuwaje utengeneze filamu ya kukutangangaza kibiashara,halafu unaiingiza Sokoni Amazon kuiuza.

Badala ya wewe Mtangazaji wa biashara yako ndio uwalipe wao ili wakutangaze.eti wewe ndio unaliuza tangazo lako kwa wateja.

Lengo likiwa kujulikana zaidi na hivyo kuvutia wateja kuja kuyaona yale uliyoyatangaza kupitia filamu yako.

Unapoanza kwa kuiuza bila kujua kama ita hit kwenye mauzo au la! Hii inaleta maswali mengi kuliko majibu.

Pia ingekuwa vema Rais angeambatana na wataalamu wa fani ya utalii pamoja na wabobezi wa African Wildlife Management.
Ambao tungewaona bega kwa bega na Rais wetu,wakimsaidia kujibu maswali na kukidhi kiu ya waulizaji. Kwa kujikita zaidi kitaaluma na kitakwimu sahihi. Hususan kwenye hafla za uzinduzi.

Ambapo majibu yao ya kitaaluma yangeongeza chachu ya watu kuitamani zaidi filamu ili wajionee uzuri wa Tanzania.

Tofauti na kilichofanyika kwa kwenda kumpambanisha Rais wetu,ambaye kitaaluma sio fani yake.

Hapo tayari umemchezesha Bahati Nasibu rais na watanzania bila kujua wala kupenda.

Hapo ni wazi kwamba waandaaji wameutumia muda wa Rais kwa manufaa yao zaidi.

Boston ndio mji ambao ni kitovu cha utalii na taasisi za utalii na wadau wake nchini Marekani.hasa kuhusu utalii wa nje ya Marekani kama Afrika na kwingineko.
Kuliko New York au Los Angeles

Hivyo ingekuwa vema uzinduzi ule ukafanywa katika mji huo,kuliko kwenye jiji la New York ambalo halina sifa ya utalii zaidi ya kujaa watoto wa mjini.

Kwa nini hata hawakupata wazo la kuingia mkataba na mmojawapo wa wasanii maarufu nchini Marekani,ili waweze kurekodi pamoja na Rais wetu ili kuiongezea chachu na umaarufu kimataifa?

Rais Samia ni Maarufu Tanzania ndiyo.
Lakini hajawa maarufu kimataifa kwa kiwango cha kuwashawishi watu kumiminika kuinunua filamu yake kwa sasa.
Kama waandaaji na wapiga debe mnavyotaka kuiaminisha Dunia.

Will Smith ametengeneza filamu ndogo tu ya jinsi alivyotembelea Afrika na Tanzania ikiwemo na inaweza kuipiku kwa mbali sana hii ya kwetu.kulingana na jinsi inavyoshambuliwa huko Marekani kwa mauzo.

Tujaribu kidogo kumuangalia Kagame wa Rwanda jinsi anavyoitangaza nchi yake bila kuingiza sura yake hata kidogo na Rwanda inapaa kimataifa.

Madhara ya kumtumia Rais moja kwa moja,
Na kuihusisha serikali yake kwenye masuala ya matangazo hasa haya ya kitalii. Ni kwamba soko lake pia litategemea rekodi yake pamoja na serikali yake kiutawala.
Wazungu huwa wanapiga chini kila kitu pindi mhusika anapokumbwa na kashfa yoyote ile.

Nimalizie kwa kuitaka serikali isikie maombi ya watanzania kutaka watuweke wazi kuhusu gharama na umiliki wa filamu ya Tanzania Royal Tour.

Nimemaliza kuutumia uhuru wangu kikatiba.
View attachment 2200347
SHAMBA LA BIBI. Full stop
 
Ni wa kawaida sana ukiangalia guests/clients wake wa the royal tour.

He also produces and hosts a television series called The Royal Tour which airs on PBS. The series features various heads of state giving Greenberg and viewers a personal tour of their country. It has featured a number of world leaders including New Zealand's Helen Clark, Israel's Benjamin Netanyahu, Abdullah II of Jordan, Peru's Alejandro Toledo, Mexico's Felipe Calderón, Rwanda's Paul Kagame, Poland's Mateusz Morawiecki and Tanzania's Samia Suluhu Hassan. Greenberg was previously the Travel Channel's chief correspondent.
Mbona Peter Greenberg anaonekana mtu maarufu na mwenye connection? Kwa nini Watanzania wana doubt? Au kwa kuwa wameamua kupinga kila anachofanya Samia?

Rais Samia piga kazi wala usiwasikilize matokeo ndiyo yatawapiga DOUBTERS wako.
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Watanzania sio wote wana doubt.
Ni kikundi cha pinga pinga ambacho wao kila kitu ni kupinga.Hawana solutions wao kazi yao ni kuleta changamoto hata kama haziko wazi watatafuta za kutunga.
 
Wazo lilikuwa zuri, lakini mleta wazo katuzidi ujanja.

Unapotengeneza filamu ambayo ni andishi la kitaaluma na kibiashara,tulipaswa kutanguliza taaluma zaidi kuliko siasa.

Mwanasiasa anaweza kukumbwa na kashfa au dosari za kiuongozi na kupelekea kupoteza soko kusudiwa baada ya kususiwa kote ilikotangawzwa na kuvuma. Huo ndio utamaduni wa wazungu.

Tulipaswa pia kuzilenga taasisi kubwa zilizobobea katika taaluma hiyo Duniani kama vile National Geographic au Animal Planet ambazo tayari zinajiendesha kupitia Vituo vyao binafsi vya kurushia Documentary zao Dunia nzima. Na zinaangaliwa na mamilioni ya watu Duniani kila siku.

Huyu Peter Greenbag hana Impact kubwa Duniani kama ambavyo ametuingiza mkenge kumdhania. Unaweza kutafakari hilo kwa kujiuliza aina ya watu ambao wamehudhuria uzinduzi wake huko Marekani.

Pia jiulizeni kwamba,inakuwaje utengeneze filamu ya kukutangangaza kibiashara,halafu unaiingiza Sokoni Amazon kuiuza.

Badala ya wewe Mtangazaji wa biashara yako ndio uwalipe wao ili wakutangaze.eti wewe ndio unaliuza tangazo lako kwa wateja.

Lengo likiwa kujulikana zaidi na hivyo kuvutia wateja kuja kuyaona yale uliyoyatangaza kupitia filamu yako.

Unapoanza kwa kuiuza bila kujua kama ita hit kwenye mauzo au la! Hii inaleta maswali mengi kuliko majibu.

Pia ingekuwa vema Rais angeambatana na wataalamu wa fani ya utalii pamoja na wabobezi wa African Wildlife Management.
Ambao tungewaona bega kwa bega na Rais wetu,wakimsaidia kujibu maswali na kukidhi kiu ya waulizaji. Kwa kujikita zaidi kitaaluma na kitakwimu sahihi. Hususan kwenye hafla za uzinduzi.

Ambapo majibu yao ya kitaaluma yangeongeza chachu ya watu kuitamani zaidi filamu ili wajionee uzuri wa Tanzania.

Tofauti na kilichofanyika kwa kwenda kumpambanisha Rais wetu,ambaye kitaaluma sio fani yake.

Hapo tayari umemchezesha Bahati Nasibu rais na watanzania bila kujua wala kupenda.

Hapo ni wazi kwamba waandaaji wameutumia muda wa Rais kwa manufaa yao zaidi.

Boston ndio mji ambao ni kitovu cha utalii na taasisi za utalii na wadau wake nchini Marekani.hasa kuhusu utalii wa nje ya Marekani kama Afrika na kwingineko.
Kuliko New York au Los Angeles

Hivyo ingekuwa vema uzinduzi ule ukafanywa katika mji huo,kuliko kwenye jiji la New York ambalo halina sifa ya utalii zaidi ya kujaa watoto wa mjini.

Kwa nini hata hawakupata wazo la kuingia mkataba na mmojawapo wa wasanii maarufu nchini Marekani,ili waweze kurekodi pamoja na Rais wetu ili kuiongezea chachu na umaarufu kimataifa?

Rais Samia ni Maarufu Tanzania ndiyo.
Lakini hajawa maarufu kimataifa kwa kiwango cha kuwashawishi watu kumiminika kuinunua filamu yake kwa sasa.
Kama waandaaji na wapiga debe mnavyotaka kuiaminisha Dunia.

Will Smith ametengeneza filamu ndogo tu ya jinsi alivyotembelea Afrika na Tanzania ikiwemo na inaweza kuipiku kwa mbali sana hii ya kwetu.kulingana na jinsi inavyoshambuliwa huko Marekani kwa mauzo.

Tujaribu kidogo kumuangalia Kagame wa Rwanda jinsi anavyoitangaza nchi yake bila kuingiza sura yake hata kidogo na Rwanda inapaa kimataifa.

Madhara ya kumtumia Rais moja kwa moja,
Na kuihusisha serikali yake kwenye masuala ya matangazo hasa haya ya kitalii. Ni kwamba soko lake pia litategemea rekodi yake pamoja na serikali yake kiutawala.
Wazungu huwa wanapiga chini kila kitu pindi mhusika anapokumbwa na kashfa yoyote ile.

Nimalizie kwa kuitaka serikali isikie maombi ya watanzania kutaka watuweke wazi kuhusu gharama na umiliki wa filamu ya Tanzania Royal Tour.

Nimemaliza kuutumia uhuru wangu kikatiba.
View attachment 2200347
 
SHAMBA LA BIBI. Full stop
Kwanza hongera sana umejitahidi kutoa ufafanuzi wako kwenye filamu ya Royal Tour, lakini niseme tu andika lako limejaa hisia sana (subjective) kuliko kuunda hoja zenye mashiko (objective) ili kubainisha uzito na ukweli wa hoja zako.

Kwanza kabisa: Hadi uamuzi wa kurusha Royal Tour kufikiwa kufanyika Amazon, watu wanatazama data, Amazon mwaka 2021 ilikuwa na Subcribers 200 milioni duniani zote, ambapo siku nne zilizopita Netflix wana watumiaji 221 milion, unaweza kuona kuona tofauti ni ndogo tu.

Hata hivyo, watu wanahama kutoka kwenye traditional media kama Televisheni kuhamia kwenye matumizi ya internet, hivyo kuiweka Amazoni ni rahisi zaidi watu kutazama kupitia simu janja kuliko National Georaphic and Animal Planet kama unavyosema.

Pili: Rais Samia ni maarufu zaidi unavyodhani, hata hivyo, Royal Tour kuja Tanzania ni kwa sababu ya Rais Samia Suluhu. Unadhani kama angekuwa Magufuli Peter Greeneberg angekuja?

Umaarufu wa Rais Samia Suluhu kwanza umeletwa na umaarufu wa Tanzania wakati wa Hayati Magufuli, dunia ilifuatilia hasa siasa za Tanzania na hata Magufuli alipofariki Tanzania ikawa maarufu zaidi na hata Rais aliyefuata akawa maarufu maradufu kwani ni mara ya kwanza, kwa Tanzania kuwa na Rais wa kwanza mwanamke.

Rais Samia Suluhu amekuwa maarufu baada ya kuhutubia Baraza la Umoja wa Mataifa 2021. Rais Samia pia ameingia katika rekodi ya wanawake 100 wenye ushawishi Duniani 2021 katika Jariba la Forbes. Unasemaje Rais Samia sio maarufu?

Hata hivyo, unasema kwamba filamu ile ingezinduliwa Boston na sio New York, ila nikwambie tu, kwa kila kitu New York ni perfect zaidi ya Boston. New York ina watu zaidi ya milioni 8 na Boston ina watu chini ya milioni 1, sasa unadhani wapi ni bora zaidi?

New York kuna starehe zote, ni jiji la anasa na maarufu zaidi kuliko Boston. Ni sawa kuleta uzinduzi Tanzania na kusema utaizindulia Mwanza na kuacha Dar es Salaam, yote ni majiji sawa, lakini lipi lina ushawishi na pesa zaidi? Hapo watu walitumia akili nyingi sio hisia.

Rais Samia hakuwa na ulazima wa kushika kila taarifa, lengo la filamu ni kuonesha zaidi mandhari na uzuri wa nchi. Rais ni tour guide kwenye ile movie, na kumtumia Rais kuwa tour guide ni kichochoe tu watu wengi duniani wafuatilie, ila sio kutegemea Rais awe packed na kila taarifa ya Mbuga na mnyama, ingeboa. Ndio maana, filamu ilikuwa na shots kali mwanzo mwisho, na most of time, Peter aliingiza sauti mwenyewe.

Halafu unasema Peter Greenberg hana ushawishi mkubwa duniani, unamjua vizuri Peter Greenberg wewe? Hebu kamsome tena urudi. With facts I can tell Peter ni mkubwa zaidi ya unavyodhani, ila may be, iwe unatoa hitimisho hilo kwa uhaba wako wa taarifa juu yako.

Filamu ya Royal Tour tayar kabla ya kutoka, ilishavuta watalii wengi, zaidi ya 600 kutoka Israeli, zaidi ya 200 kutoka France na nchi nyingine za Ulaya.
 
Hongera Getrude Mollel kwa kutumia muda wako na kumwaga madini ya kutosha. Infact umewafungua wengi tu kwenye takwimu, umaarufu wa Rais SSH na uzoefu wa director mwenyewe Peter Greenberg.

Japo hawa pinga pinga wataendelea tu kuponda Ila tuwaewe, Mama anaupiga mwingi mpaka wanakosa agenda
 
Wazo lilikuwa zuri, lakini mleta wazo katuzidi ujanja.

Unapotengeneza filamu ambayo ni andishi la kitaaluma na kibiashara,tulipaswa kutanguliza taaluma zaidi kuliko siasa.

Mwanasiasa anaweza kukumbwa na kashfa au dosari za kiuongozi na kupelekea kupoteza soko kusudiwa baada ya kususiwa kote ilikotangawzwa na kuvuma. Huo ndio utamaduni wa wazungu.

Tulipaswa pia kuzilenga taasisi kubwa zilizobobea katika taaluma hiyo Duniani kama vile National Geographic au Animal Planet ambazo tayari zinajiendesha kupitia Vituo vyao binafsi vya kurushia Documentary zao Dunia nzima. Na zinaangaliwa na mamilioni ya watu Duniani kila siku.

Huyu Peter Greenbag hana Impact kubwa Duniani kama ambavyo ametuingiza mkenge kumdhania. Unaweza kutafakari hilo kwa kujiuliza aina ya watu ambao wamehudhuria uzinduzi wake huko Marekani.

Pia jiulizeni kwamba,inakuwaje utengeneze filamu ya kukutangangaza kibiashara,halafu unaiingiza Sokoni Amazon kuiuza.

Badala ya wewe Mtangazaji wa biashara yako ndio uwalipe wao ili wakutangaze.eti wewe ndio unaliuza tangazo lako kwa wateja.

Lengo likiwa kujulikana zaidi na hivyo kuvutia wateja kuja kuyaona yale uliyoyatangaza kupitia filamu yako.

Unapoanza kwa kuiuza bila kujua kama ita hit kwenye mauzo au la! Hii inaleta maswali mengi kuliko majibu.

Pia ingekuwa vema Rais angeambatana na wataalamu wa fani ya utalii pamoja na wabobezi wa African Wildlife Management.
Ambao tungewaona bega kwa bega na Rais wetu,wakimsaidia kujibu maswali na kukidhi kiu ya waulizaji. Kwa kujikita zaidi kitaaluma na kitakwimu sahihi. Hususan kwenye hafla za uzinduzi.

Ambapo majibu yao ya kitaaluma yangeongeza chachu ya watu kuitamani zaidi filamu ili wajionee uzuri wa Tanzania.

Tofauti na kilichofanyika kwa kwenda kumpambanisha Rais wetu,ambaye kitaaluma sio fani yake.

Hapo tayari umemchezesha Bahati Nasibu rais na watanzania bila kujua wala kupenda.

Hapo ni wazi kwamba waandaaji wameutumia muda wa Rais kwa manufaa yao zaidi.

Boston ndio mji ambao ni kitovu cha utalii na taasisi za utalii na wadau wake nchini Marekani.hasa kuhusu utalii wa nje ya Marekani kama Afrika na kwingineko.
Kuliko New York au Los Angeles

Hivyo ingekuwa vema uzinduzi ule ukafanywa katika mji huo,kuliko kwenye jiji la New York ambalo halina sifa ya utalii zaidi ya kujaa watoto wa mjini.

Kwa nini hata hawakupata wazo la kuingia mkataba na mmojawapo wa wasanii maarufu nchini Marekani,ili waweze kurekodi pamoja na Rais wetu ili kuiongezea chachu na umaarufu kimataifa?

Rais Samia ni Maarufu Tanzania ndiyo.
Lakini hajawa maarufu kimataifa kwa kiwango cha kuwashawishi watu kumiminika kuinunua filamu yake kwa sasa.
Kama waandaaji na wapiga debe mnavyotaka kuiaminisha Dunia.

Will Smith ametengeneza filamu ndogo tu ya jinsi alivyotembelea Afrika na Tanzania ikiwemo na inaweza kuipiku kwa mbali sana hii ya kwetu.kulingana na jinsi inavyoshambuliwa huko Marekani kwa mauzo.

Tujaribu kidogo kumuangalia Kagame wa Rwanda jinsi anavyoitangaza nchi yake bila kuingiza sura yake hata kidogo na Rwanda inapaa kimataifa.

Madhara ya kumtumia Rais moja kwa moja,
Na kuihusisha serikali yake kwenye masuala ya matangazo hasa haya ya kitalii. Ni kwamba soko lake pia litategemea rekodi yake pamoja na serikali yake kiutawala.
Wazungu huwa wanapiga chini kila kitu pindi mhusika anapokumbwa na kashfa yoyote ile.

Nimalizie kwa kuitaka serikali isikie maombi ya watanzania kutaka watuweke wazi kuhusu gharama na umiliki wa filamu ya Tanzania Royal Tour.

Nimemaliza kuutumia uhuru wangu kikatiba.
View attachment 2200347
POROJO.
 
Huyo muongozaji ni mshindi wa tuzo za filamu, siyo mtu mdogo kwenye tasnia, huwezi rusha filamu BBC, CNN, Fox news...
Dah...... Yaani unaongea kitu as if haujasoma alichoandika mleta mada. Mbona kaandika vizuri sana hapo na ameelezea mapungufu ya kila aina na nini kingefanyika mbadala.
 
Siku ya uzinduzi filam ilipata more than 3m viewers world wide.

Tuache ramli tusubiri matokeo.
At least, Mama Samia kajaribu kufanya kitu.

Kwa taarifa yako tu Wazungu wengi walijua Mlima Kilimanjaro uko Kenya hapo nyuma, Walijua Tanzanite inatoka Kenya na India n.k

Sasa tusipoitangaza Nchi tutaendelea kupigwa.

Raisi kaanza kwa kadri aliweza. Badae wataboresha zaidi. Sio Jambo la kubeza hata kidogo. Labda una lako Jambo.
Hajabeza bali ameongelea alternative way ambayo ingeleta impact kubwa mara kumi ya hiyo unayoiongelea.

Hili si swala la kisiasa ni swala ya kisayansi na sanaa katika biashara.
 
Hivi mleta mada ushawahi kuiangalia Royal Tour film ya Rwanda? Je Kagame hakuwepo kwenye filamu? Tatizo lenu dada zetu wa siku hizi kila kitu mnakichukua kimipasho mipasho ilimradi na nyie muonekane kuwa mnajua kusuta.

Unaweza kukuta mleta mada ni raia wa nchi nyingine hivyo maendeleo yoyote kwa Tanzania ni sawa na msumali wa moto katikati ya makalio yake. Shem on you poor girl. JF imeingiliwa na mabinti wa mipasho na wanaharakati koko.

View attachment 2200438

View attachment 2200439
Kwahiyo kumbe tumeiga project ya Rwanda.
 
Ni kweli mhusika anajulikana kwenye ulingo wa filamu, lakini tujiulize lengo kuu la filamu ni nini? Lengo halikuwakutengeneza pesa kupitia hiyo filamu, bali kutangaza biashara ya utalii Tanzania. Itakuwa ajabu tangazo la biashara kulipiwa kuliona. Naunga mkono kama hii ingewahusiaha National Geographic ingepata coverage kubwa, sasa hivi itaoozea Amazon. Juu ya yote filamu iliyotengenezwa na pesa ya mlipa kodi inatumika kumtajrisha SSH, Greenberg, na Amazon.
Acheni nongwa National Geography wana movie kibao zinazohusu utalii Tanzania na mara kibao wanazionyesha kwa mfano "Serengeti Unforgettable" imeanza kuonyeshwa tangu miaka ya 2000 huko.Pia wana Safari live,Ngorongoro wildlife,wana serengeti the adventure zinaonyeshwa frequently..acheni tujaribu na namna nyingine ya kutangaza utalii wetu
 
Dah...... Yaani unaongea kitu as if haujasoma alichoandika mleta mada. Mbona kaandika vizuri sana hapo na ameelezea mapungufu ya kila aina na nini kingefanyika mbadala.
Itakua umesoma halafu hukuelewa
 
Wazo lilikuwa zuri, lakini mleta wazo katuzidi ujanja.

Unapotengeneza filamu ambayo ni andishi la kitaaluma na kibiashara,tulipaswa kutanguliza taaluma zaidi kuliko siasa.

Mwanasiasa anaweza kukumbwa na kashfa au dosari za kiuongozi na kupelekea kupoteza soko kusudiwa baada ya kususiwa kote ilikotangawzwa na kuvuma. Huo ndio utamaduni wa wazungu.

Tulipaswa pia kuzilenga taasisi kubwa zilizobobea katika taaluma hiyo Duniani kama vile National Geographic au Animal Planet ambazo tayari zinajiendesha kupitia Vituo vyao binafsi vya kurushia Documentary zao Dunia nzima. Na zinaangaliwa na mamilioni ya watu Duniani kila siku.

Huyu Peter Greenbag hana Impact kubwa Duniani kama ambavyo ametuingiza mkenge kumdhania. Unaweza kutafakari hilo kwa kujiuliza aina ya watu ambao wamehudhuria uzinduzi wake huko Marekani.

Pia jiulizeni kwamba,inakuwaje utengeneze filamu ya kukutangangaza kibiashara,halafu unaiingiza Sokoni Amazon kuiuza.

Badala ya wewe Mtangazaji wa biashara yako ndio uwalipe wao ili wakutangaze.eti wewe ndio unaliuza tangazo lako kwa wateja.

Lengo likiwa kujulikana zaidi na hivyo kuvutia wateja kuja kuyaona yale uliyoyatangaza kupitia filamu yako.

Unapoanza kwa kuiuza bila kujua kama ita hit kwenye mauzo au la! Hii inaleta maswali mengi kuliko majibu.

Pia ingekuwa vema Rais angeambatana na wataalamu wa fani ya utalii pamoja na wabobezi wa African Wildlife Management.
Ambao tungewaona bega kwa bega na Rais wetu,wakimsaidia kujibu maswali na kukidhi kiu ya waulizaji. Kwa kujikita zaidi kitaaluma na kitakwimu sahihi. Hususan kwenye hafla za uzinduzi.

Ambapo majibu yao ya kitaaluma yangeongeza chachu ya watu kuitamani zaidi filamu ili wajionee uzuri wa Tanzania.

Tofauti na kilichofanyika kwa kwenda kumpambanisha Rais wetu,ambaye kitaaluma sio fani yake.

Hapo tayari umemchezesha Bahati Nasibu rais na watanzania bila kujua wala kupenda.

Hapo ni wazi kwamba waandaaji wameutumia muda wa Rais kwa manufaa yao zaidi.

Boston ndio mji ambao ni kitovu cha utalii na taasisi za utalii na wadau wake nchini Marekani.hasa kuhusu utalii wa nje ya Marekani kama Afrika na kwingineko.
Kuliko New York au Los Angeles

Hivyo ingekuwa vema uzinduzi ule ukafanywa katika mji huo,kuliko kwenye jiji la New York ambalo halina sifa ya utalii zaidi ya kujaa watoto wa mjini.

Kwa nini hata hawakupata wazo la kuingia mkataba na mmojawapo wa wasanii maarufu nchini Marekani,ili waweze kurekodi pamoja na Rais wetu ili kuiongezea chachu na umaarufu kimataifa?

Rais Samia ni Maarufu Tanzania ndiyo.
Lakini hajawa maarufu kimataifa kwa kiwango cha kuwashawishi watu kumiminika kuinunua filamu yake kwa sasa.
Kama waandaaji na wapiga debe mnavyotaka kuiaminisha Dunia.

Will Smith ametengeneza filamu ndogo tu ya jinsi alivyotembelea Afrika na Tanzania ikiwemo na inaweza kuipiku kwa mbali sana hii ya kwetu.kulingana na jinsi inavyoshambuliwa huko Marekani kwa mauzo.

Tujaribu kidogo kumuangalia Kagame wa Rwanda jinsi anavyoitangaza nchi yake bila kuingiza sura yake hata kidogo na Rwanda inapaa kimataifa.

Madhara ya kumtumia Rais moja kwa moja,
Na kuihusisha serikali yake kwenye masuala ya matangazo hasa haya ya kitalii. Ni kwamba soko lake pia litategemea rekodi yake pamoja na serikali yake kiutawala.
Wazungu huwa wanapiga chini kila kitu pindi mhusika anapokumbwa na kashfa yoyote ile.

Nimalizie kwa kuitaka serikali isikie maombi ya watanzania kutaka watuweke wazi kuhusu gharama na umiliki wa filamu ya Tanzania Royal Tour.

Nimemaliza kuutumia uhuru wangu kikatiba.
View attachment 2200347
Lazima filamu iuzwe.. kibiashara hiyo ni njia sahihi ya kupata mtalii sahihi

Sent from my SAMSUNG-SM-J327A using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom