Royal Tour: Wacheni Tuseme Ukweli

Royal Tour: Wacheni Tuseme Ukweli

Kwahiyo kumbe tumeiga project ya Rwanda.
Hatujaiga, bali huo ndio utaratibu ambao huwa anauandaa muongoza film. Post yang ilikuwa ni jibu kwa mleta mada ambae alitaka kuudanganya umma wa wana JF kuwa Kagame hakushiriki kweny Royal Tour film ya Rwanda, na chawa mungine mungine akaenda mbali kwa kudai kuwa kwenye uzinduzi wa film huko USA Kagame hakwenda bali alituma watoto wake, kitu ambacho sio cha kweli. Ndio maana nikawaumbua ili iwe funzo kwao na kwa mabwana zao waliowatuma kuja kuandika ujinga hapa JF kwa lengo la kuchafua sifa za film na nchi kwa ujumla. Wenye akili tunajua fika kwamba utengenezaji na uzinduzi wa film ya royal tour umewaumiza wengi, maana itakwenda kuionesha dunia vivutio halisi vya Tanzania, tofauti na mwanzo ambapo kuna baadhi ya nchi zilitumia fursa mbali mbali kujimilikisha kibandia vivutio vyetu ndo maana ilikuwa kawaida Mzungu kuamini kuwa mlima Kilimanjaro upo Kenya, ziwa nyasa linamilikiwa na Malawi nk.
 
hiii ni INCHI raha sana......hivi bange itapitishwa lini....yaani KILIMO CHA BANGI....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom