Royal Tour: Wacheni Tuseme Ukweli

Hao wananchi wanafaidika mpaka sisi tudhani kwamba wanakuwa wakitumiwa.

Unapoona lindi la umasikini linazidi nchini wakati huo huo unaona wachache wakiishi kama wako peponi maana yake katika jamii kuna kundi dogo linalonufaika na keki ya TAIFA at the expense of the many!! Hakuna haja ya kudhani hapo ni dhahiri!!
 
Imefikisha views 150m amazon
 
Haiozi Amazon,Ina views 150m
 
Miaka 10 kuanzia sasa utasikia hayohayo kuwa mt. Kilimanjaro iko Kenya, hiyo story haijaanza leo wala jana
 
Tunapaswa kufikiri kwa sauti. Brand South Africa ilipelekea watu kujua kuna serikali na kivuli cha watu wanaoendesha na kufanya maamuzi ya nchi kwa maana ya "THE REPUBLIC OF GUPTA".
 
Mkuu unawashangaa CCM kwa kukurupuka? Wamemuua Magufuli ili waendelee kuiba na kuturudisha nyuma kimaendeleo, sasa wamekuja na utumbo wa Royal Tour ili wananchi wasijadili kifo cha rais wetu kipenzi.
 
Huwezi tenganisha kiwango, teknolojia na mapungufu/gharama za utengenezaji. Haya mambo yanaenda pamoja, sasa huwezi ongelea moja ukaacha jingine.

Darasa la 12 haliwezi kuelewa haya mambo.
 

Na umeutumia Uhuru wako wa kikatiba ipasavyo! Andiko baab kubwa !
 

Nan kasema pesa zitaenda kwa SSH?
 
Bro itakua nyie ndio ThinkTank ya nchi na mnashauri rubbish you don’t analyze issues na wavivu wa kudadavua

Nikiwa nadebate na mtu ama nasikikiliza debate kwa watu nikishaona mtu anaanza personal attacks najua huyu kaishiwa hoja
 
Tujaribu kidogo kumuangalia Kagame wa Rwanda jinsi anavyoitangaza nchi yake bila kuingiza sura yake hata kidogo na Rwanda
Kagame mwenyewe Royal Tour alitengeneza filamu yake naona huko informed umeandika ujinga mtupu

Nenda youtube search Rwanda the royal tour utaona sura yake
 
Muda wote ulikuwa wapi kutoa maoni yako haya mazuri kabla ya shooting haijafanyika?
Kwasasa yamekuwa ni malalamiko na sio ushauri tena labda kama kutatengenezwa another Royal Tour.
 
Voicer wewe ni muelewa sana , Samia ni mwana siasa ata pita lakini Tanzania itabaki pale pale. Raisi una acha ikulu kwenda kutangaza film za utalii labda hujui kazi yako.
 
Unapoona lindi la umasikini linazidi nchini wakati huo huo unaona wachache wakiishi kama wako peponi maana yake katika jamii kuna kundi dogo linalonufaika na keki ya TAIFA at the expense of the many!! Hakuna haja ya kudhani hapo ni dhahiri!!
Hiki ni kilio cha dunia nzima na cha miaka yote. Ujanja ni kupambana ili mimi na wewe tuingie katika kundi la watafutaji wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…