Royal Tour: Wacheni Tuseme Ukweli

You nailed it.Made my day and I humbly rest my case.
 
Imani potofu japokuwa unaeleweka kwani Samia na JK wanao ukaribu wenye kutajirishana kupitia siasa.
 
Imani potofu japokuwa unaeleweka kwani Samia na JK wanao ukaribu wenye kutajirishana kupitia siasa.
Hakuna imani potofu hapo kutajirishana at the expense ya wananchi is nothing but UFISADI!! You are entitled to your beliefs though!!
 
Time will tell!
Viongozi wengi waliowika awamu ya 4 ndio wenye nguvu huko Ccm na nyadhifa nzuri serikalini, hivyo wamekamata mpini na wengine wameshika makali.
 
Duniani kazi nyepesi ni kukosoa na njia ya kufanikiwa ni kujaribu kwa kila nafasi inayopatikana mbele yetu.
 
Viongozi wengi waliowika awamu ya 4 ndio wenye nguvu huko Ccm na nyadhifa nzuri serikalini, hivyo wamekamata mpini na wengine wameshika makali.

Sukuma Gang nao wapo wanaangalia mchezo; hawa na wakwere wa Msoga hawawezi kula sahani moja lazima watamwagiana kitoweo!!
 
Sukuma Gang nao wapo wanaangalia mchezo; hawa na wakwere wa Msoga hawawezi kula sahani moja lazima watamwagiana kitoweo!!
Sukuma gang hawana nguvu tena mkuu, wapo kimya tu huenda wamekubali wameshapoteza.

Ila hao 'watoto wa mjini' ndio muda wao huu.
 
Hapo ndo utawapenda wazungu, ukiwazingua tu wanasusia filamu yako na hakuna rangi utaacha kuona........wamebugi kumtumia rais kwenye hii ishu, wangetumia wasanii maarufu duniani hasa wale wa marekani wakishirikiana na hawa wa kwetu....
 
Qualification sio vyeti ila vyeti vinaweza kuwa sehemu ya qualification. Basi tuseme leta personal profile yake kuhusu filamu na utalii.
Masuala haya niliyouliza hayahusiani wala hayahitaji qualification ya film industry.

Ni maswali ya darasa la 12 tu.

Huhitaji kubobea kwenye film industry ndio uweze kuitazama na kuielewa.

Siongelei viwango vya filamu wala teknolojia iliyotumika.

Nimeongelea mapungufu halisi na gharama za utengenezaji.

Walipa kodi wanaitaka serikali itowe facts za gharama na hatimiliki yake.
 
Mwenzako amejenga hoja ya msingi wewe unaleta blaa blaa za kitoto hapa.
Kibiashara nikiwa na maana kuvutia soko la biashara ya utalii wa Tanzania kimataifa.

Kitaaluma nikimaanisha kwenye uzinduzi.
Maswali aliyokuwa akiulizwa Rais ni ya kitaaluma hivyo ilipaswa wataaluma ya utalii wawepo pembeni yake kujibu kitaalamu zaidi kulingana na fani husika.

Kisiasa nikimaanisha yeye kama Mkuu wa nchi pia anaitangaza Tanzania kisiasa na kidiplomasia kupitia filamu hiyo.

Ila endapo atakumbwa na kashfa yoyote kubwa katika safari yake kisiasa.
Waelewe pia lolote linaweza kutokea ikiwemo filamu hiyo pia kupoteza umaarufu kulingana na ukubwa na madhara ya scandal husika.

Tuko pamoja. The Sunk Cost Fallacy.
 
Leta link ya hayo majibu yako.
Hata Msigwa kupitia DW alipata kigugumizi kwa hilo jibu.
 
Hakuna imani potofu hapo kutajirishana at the expense ya wananchi is nothing but UFISADI!! You are entitled to your beliefs though!!
Hao wananchi wanafaidika mpaka sisi tudhani kwamba wanakuwa wakitumiwa. Samia anafanya analoweza kwa uwezo wake. Kumpinga au kumuunga mkono ni uhuru binafsi wa kila mmoja wetu.
 
Huyo muongozaji ni mshindi wa tuzo za filamu, siyo mtu mdogo kwenye tasnia, huwezi rusha filamu BBC, CNN, Fox news...
Ndio maana marais wengine kama jirani yetu mmoja hakaribishi maoni maana utayumbishwa tu kila mtu na mtazamo wake jambo lenyewe moja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…