Royal Tour: Wacheni Tuseme Ukweli

'Movie' hii ni sehemu ya Kampeni ya kujijenga kuelekea 2025. Hawa watu wanaookotezwa kama hawa akina Rostam na hao akina Greenberg, ni mpango ule ule wa kujijenga wao na huyo anayewapa ulaji wa 'free range'.

Nakubaliana na wewe kuhusu observation hii; otherwise utaelezaje kuwepo wa Rostam Aziz huko Marekani wakati wa uzinduzi wa hii documentary ? Sio hivyo tu huyu Rostam Aziz ameonekana akitia saini makubaliano akiwepo Samia na balozi wetu wa huko Marekani sijui ni mikataba yake na biashara zake au ni mikataba ya nchi ya Tanzania? Kama ni mikataba ya nchi kwanini atie saini mfanya biashara na sio mawaziri wahusika na kama ni mikataba yake binafsi je kuwepo wa Rais kwenye utiaji saini huo unaashiria kuwekewa dhamana na Serikali ya Tanzania kwenye hiyo mikataba? Kama ni government guarantee hiyo guarantee inaweza kuwa na athari gani kwa nchi? Samia anaelewa haya mambo?

Samia hana budi kujifunza yale yaliyomtokea Zuma kula Afrika Kusini na uhusiano wake na wafanyabiashara wa kihindi wakina GUPTA!! Asije akajikuta kupitia huo uhusiano wake na so called PRIVARE sector akajichanganya na kukuta the STATE IS CAPTURED!!! Kikwete alikuwa muhanga wa STATE CAPTURE through HOME SHOPPING CENTRE lakini bahati yake kuwa wakati ule watu walikuwa hawana muamko na katiba haikuruhusu apelekwe mahakamani kwa ufisadi alioufanya!!! Hivyo Samia must be very careful where she treads with her solicitation of the private sector with Kikwete's counsel!

Kumbukeni pia kuwa huyu mfanyabiashara Rostam Azizi ndiye aliyekuwa architect wa wizi wa fedha kule BOT enzi ya marehemu Mkapa na gavana Balali!!!
 
Mkuu Voicer umezungumzia utalii na watalii.Na kudai New York ni wrong venue.Kwa USA New York ndio Tourism Hub ikitembelewa na watalii milioni 12.Los Angeles ipo kwenye top 5.
Boston haipo hata kwenye hizo top 5.
Back your argument with facts.
 
Post yako hii tayari ishaonesha kuwa wewe ni raia wa nchi gani, na kwanini umeumizwa na ujio wa filamu hii. Poleni sana wewe na Kagame wako.
Mimi ni Mtanzania njoo na majibu sahihi kwa maswali husika badala ya Porojo.
 

Bro itakua nyie ndio ThinkTank ya nchi na mnashauri rubbish you don’t analyze issues na wavivu wa kudadavua
 
Tatizo ni kwamba Sterling ni yule yule amerudi tena.
Kwa hiyo huyo Rostam huu ni msimu mpya wa mavuno.
 
Bro itakua nyie ndio ThinkTank ya nchi na mnashauri rubbish you don’t analyze issues na wavivu wa kudadavua
Yaani anaongea propaganda ya kitambo sana.
Amesahau siku hizi kila kitu kiganjani.
 

Hakuwepo U.S , alituma watoto wake. Halafu unaifanya Rwanda ndio benchmark ya Tanzania? Una akili sawa sawa brother? Don’t abuse your political party.
 
Tatizo ni kwamba Sterling ni yule yule amerudi tena.
Kwa hiyo huyo Rostam huu ni msimu mpya wa mavuno.
Unahamisha magoli.Rostam Aziz hahusiki lolote na Royal Tour Tanzania.
Kama tatizo kuhusu yeye anzisha mada mpya kuhusu yeye.
 
Sasa hapa kati ya mleta mada na wewe ni nani mwajuma ndala ndefu kama sio wewe!!! Mtoto wakiume unachamba kuliko ata mange kimambi
 
Sikuangalia uzinduzi,haihitaji mtu maarufu kuja kwenye uzinduzi,nasikia umepata views 3m...hayo ni mafanikio makubwa

Viewers millioni 3 ndio Namba ya watalii wa Kuja kutembelea?

Unajua maana ya filamu na uhalisia? Hilo ni tangazo la biashara ama ni mkanda wa video?

Kwa ivo target ni viewers ama watalii kuja bongo? Au tunapata pesa per view?

What was the primary objective ya Royal Tour? Jina lenyewe haliaksi uhalisia.

PK had his mission kujisfisha kwa wazungu. Ukiingia NatioG, Animal Planet, Travel Channel, CGTN ect kuna coverage super sana za utalii wa Tanzania na ni huko hawa wanako relay. We had to boost a marketing stratagies na si advertisements.

Nina mengi ila hadi hapo najua utareply utumbo kwa sababu hutaki kupokea positive criticism.

Kidumu CC emu
 
Sidhani kama amefungua link kwenye post#33.
Kwamba mafao yatokanayo na malipo na ukodishaji pamoja na ununuzi wa copy zake ni mali ya nani?

Je nani amelipia gharama zote?
 
Mkuu vema umeongea kitaaluma zaidi kuliko hawa wanaodhani kila jambo ni siasa tu.

Umeongea kitaaluma ila sidhani kama wataelewa andiko lako.
 
Ambacho nimekubaliana na ww ni hapo kumtumia raisi(mwanasiasa) akikumbwa na kashfa basi na filamu inasusiwa. Hili ni kweli kabisa
 
Pamoja na mawazo yako mazuri ila kusema tumeingizwa mkenge hapana..

Mkenge kivipi sasa wakati zaidi ya muda wetu tuliotumia kutangaza vivutio vyetu hakuna gharama zingine na hata kama isipoleta impacts itakuwa hasara Kwa waliotoa pesa ambao ni wadau WA utalii waliotoa pesa..

Sidhani kama wao hawakuyaona hayo.
 
Reactions: Tui
Sasa hapa kati ya mleta mada na wewe ni nani mwajuma ndala ndefu kama sio wewe!!! Mtoto wakiume unachamba kuliko ata mange kimambi
Watoto wa kike kuteteana ni kawaida yenu. Kwahiyo sishangai kwa hili andiko lako hapa jukwaani.
 
Reactions: Tui
Neno moja: TUSUBIRI MATOKEO
 
Maswali yako yote ni ya kipuuzi ndo maana wengi hatuoni sababu ya kuujibu upuuzi.
Tatizo wengi wenu mmeweka siasa mbele na Uchawa kuliko uhalisia wa mambo.

Jaribuni kuwaza kwa kina bila kusukumwa na nguvu-tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…