Isakhamisi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 397
- 455
Ala ina maana nyinyi magufulism ndoto zenu ni kutaka rais samia project zake zilifeli mpate kufurahi basi hilo halitotokea kwa sababu mama anaendesha nchi kisomi hskurupuki kama bwana yenu mwendazake aliyekuwa akiendesha nchi kivyake bila kushikikisha wateule wake.Kiazi ni wewe unayekurupukia mambo bila kudigest, upo tu na kila jambo la maza unalishadadia likija kubuma unajikausha. Yaani ukisikia sugar mami la mtu flani ndo km wewe, husikii wa huoni.
Hizi takwimu halafu ukiwa mdau utalii unaona mambo meusi tuWewe ndio umeueyuka..
Matokeo ya Royal tour haya hapa [emoji116]
Yakiwa meusi kwako sio lazima yawe meusi kwa woteHizi takwimu halafu ukiwa mdau utalii unaona mambo meusi tu
Nchi ya hovyo sana hii.Kashawapoza wanazengo na nyongeza ya mishahara na posho.
Bilioni 7 imesahaulika kama imeliwa na beberu
Hivi ile mbuga yetu pale chato/burigi inapokea watalii wangapi kwa mwakaWalahi ukiwa na familia ya matoto kumi km hilo jamaa! Nenda kwa mfalme zumaridi kama anaweza kuyauza mpe. [emoji23][emoji23]
Unaendelea sio tunaendeleawazo lolote ambalo halisaidii kuzalisha ajira kwa maelfu ya vijana wasio na kazi ni ufujaji wa pesa.
royo tuwa ni kichekesho.
tunaendelea kumkumbuka Magufuli.
Wafuasi wa mwendazake wajibu hilo swaliHivi ile mbuga yetu pale chato/burigi inapokea watalii wangapi kwa mwaka
Kwa ukatili wakewazo lolote ambalo halisaidii kuzalisha ajira kwa maelfu ya vijana wasio na kazi ni ufujaji wa pesa.
royo tuwa ni kichekesho.
tunaendelea kumkumbuka Magufuli.
Ubunifu na ankali piraAcha mama aendelee na ubunifu usimkatishe tamaa. Mama amethubutu kucheza muvi, ikibuma ama kutusua ni jambo jingine
Na film yake kachukuaMuigizaji kashalipwa chake.
Ukiwauliza return ya Hela waliyotumia wanatoa povuUbunifu unaotugharimu mno.
Bilioni 9 zimeyeyuka hivi hivi.
Tuulize royal tour imesababisha watalii wangapi pale!Hivi ile mbuga yetu pale chato/burigi inapokea watalii wangapi kwa mwaka
Either ni ushamba au kutokuwa na elimu kuhusu sekta ya utalii inavyofanya kazi.Did you think that royal tour outcome will be like an instaant coffee..??
Watanzania tunatia aibu sana.
Kwa taarifa yako hata influx ya watalii unayoiona huwezi kusema ni matokeo ya tour.
Binafsi ningetoa 6months kutarajia matokeo