Router 5G inauzwa

Router 5G inauzwa

Samahani sana wakuu Mimi naomba kupewa elimu juu ya maana na matumizi sahihi ya router Nina amini kupitia ufafanuzi huo wenye elimu ndani yake itasaidia na wengine pia Kwa namna moja ama nyingine
 
Habari

Kwa 170000 unapata router ya 5g ya airtel 0781 493401
Hii ni maajabu! Airtel wanauza 110k na kifurushi cha 110k humohumo (kifupi router ni bure) wewe unakuja kuuza 170k kweli!!??? Kuwa serious.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
ajabu,badala ya yeye kusema 60,000
Kifupi Router ni bure. Unalipia kifurushi cha 110k unapewa router na bundle la mwezi la 110k na mwezi unaofata unaweza kulipia cha 70k au 110k kulingana na uwezo na mahitaji yako.
 
  • Thanks
Reactions: Lax

Similar Discussions

Back
Top Bottom