Round about ya Mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Round about ya Mapenzi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mwitaz, Oct 6, 2012.

 1. mwitaz

  mwitaz JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 314
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [BOSS TO SECRETARY]
  Jiandae kesho tuna safari
  ya kikazi.

  [SECRETARY TO HUSBAND]
  Mume wangu kesho
  nitasafari na boss kikazi.

  [HUSBAND TO GIRLFRIEND]
  kesho wife wangu
  anasafiri,kuwa huru kuja
  unipe raha.

  [GIRLFRIEND TO STUDENT]
  kesho usije shule nimepata
  dharura..ambia mzazi wako
  we ni mgonjwa.

  [BOSS TO SECRETARY]
  Samahani,safari
  imehairishwa mwanangu ni
  mgonjwa haendi shule
  kesho nataka kukaa nae.

  [SECRETARY TO HUSBAND]
  Kesho nitakuwepo boss
  amehairisha safari.

  [HUSBAND TO GILFRIEND]
  kesho usije,huyu kenge
  wangu kahairisha safari
  yake.

  [GIRLFRIEND TO STUDENT]
  kesho nitakuwepo njoo
  shule kama kawaida....
  vituko zaidi vinaendelea
  huko.
   
 2. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daah! Tuko wangapi....
   
 3. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  tulizana...
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Hivi,hatuoni aibu ku copy na ku paste thread ambayo wiki moja tu iliyo pita ilikuwepo hapa?
   
 5. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,992
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  tenaaaaaaaaaa!
   
Loading...