pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,039
- 5,259
Hatujui tunachotaka, akiwa masikini kwanini na akiwa tajiri pia?akikosa kwanini, akipata pia?
This is deliberately !Safari ya USA alikuwepo, Ya Kenya alikuwepo
, Oman pia.
He is almost every where .ana nguvu sana awamu hii.
Kila anachotaka kinafanyika with no compromise.
Awamu hii ya CCM ?Safari ya USA alikuwepo, Ya Kenya alikuwepo
, Oman pia.
He is almost every where .ana nguvu sana awamu hii.
Kila anachotaka kinafanyika with no compromise.
Hakuna maajabu anayofanya zaidi ya rushwa kwa viongozi!Ndo tujifunze kwao.Rostam kafanyaje mpaka kushawishi serikali nzima?
Na za chini ya kapeti, Rost Tamu Aziivi ndio alikuwa mfadhili mkuubwa wa Roho Tour!.This is deliberately !
Wageni wameshika vyanzo vyote vya mapato tumebakia kung'aa macho.Sisi tuendele kuwekeza kwenye industry ya wakata mauno
Na kufungua mabar,lounge
Ova
Hata kuliko Bashite na njeree mwenzako SabayaSafari ya USA alikuwepo, Ya Kenya alikuwepo
, Oman pia.
He is almost every where .ana nguvu sana awamu hii.
Kila anachotaka kinafanyika with no compromise.
Dah basi na Bibi zangu wakambo dongobeshi, Mbauda na Nyarugusu watafaiduka sana.Anaewahi ndio hupata, deal hizo haziji kwa bahati mbaya watu wameandika wamelobby zimefiki na fursa waliiona wakaona gap lipo sasa unataka iweje zaidi?
Msianze kulialia tu maana Taifa Gas alijipanga mapema kila wilaya anakituo cha kujazia Gas sasa aliplan muda mrefu afike vijijini na kweli kafika wale uliokua ukisafiri unaona depot za mihan gas na sasa zimebadilishwa zinaitwa Taifa Gas ndio hao hao, cha kufanya serikali imuondolee kodi na imuwezeshe kusambaza nchi nzima na zimamoto kila mkoa na wilaya wajipange kuwaelekeza watanzania jinsi ya kutumia kwa ufasaha Gas ili isilete shida, ili hata Bibi yetu wa kule kigonsera au hanga mwanasteri au mputa au kwenda na kaisho au nyambiti au dareda atumie nishati salama kwa ufasaha na kuokoa muda wake
Uandishi wako km nimeanza kuuelewa hivi..umekaa kipascal Pascal...ile tabia ya kupenda kueleza kitu kinyume na ukweli..Acha wivu. Rostam sio fisadi. Anapata michongo kihalali kabisa. Tutumie akili zetu kuandika project plan na umuhimu wake ili tupate fursa. Matatizo ya watu ndo fursa. Sasa Rostam kaja na nishati safi ili bibi zangu kule Mwajilyambiti wasikatwe mapanga tena. Maana wataondokana na kupuliza moto wa kuni.
Well said, soon Nchi inarudi kutofungamana na upande wowote.CIA agent
Unapaswa kupimwa km hujatumia kilevi ulipokuwa unacommentKiuhalisia Eddo alipata kura nyingi kumshinda magufuli huo ndio ukweli na magufuli anajua uhalisia ndio maana hadi dakika ya mwisho ikabidi awe humble kwa eddo, na Rostam ndio akamrudisha Eddo kundini au umesahau?