Naona CCM wamechanganyikiwa nchi ndo inaondoka hiyo mikononi mwao, Ushauri kwa makamanda wakuu Mbowe,Slaa pamoja na Prof.Lipumba,Mbatia na Makaidi fanyeni jitihada za makusudi kuwashawishi hao hapo juu kwenye vuguvugu hili lA UKOMBOZI wa nchi wa pili.Kama ni tuhuma wametuhumiwa sana lakini ukweli unabaki palepale ndani ya CCM wasio na doa la tuhuma za rushwa ni wachache mno.Ni mfumo mbovu wa kiutendaji na kiongozi ndo umewafanya wawe hivyo, mbona enzi za mwalimu rushwa na ufisadi haukuwepo.
Chini ya Mfumo mzuri wa kiuongozi na uwajibikaji wa Ukawa tuhuma za rushwa kwa viongozi itakuwa mwiko.
Kama nilivosema hapo juu nashauri viongozi wa ukawa watafuteni hao jamaa hapo juu ILI KAMA NI KUCHONGA BASI CCM WACHONGE VIZURI