Kenya ilikuwa hivyohivyo lakini sasa wanasonga mbele, wanadevelop saana, hivi miaka yote hiyo unanang'ania sisiemu na wafuasi wake wa Ict wazalendo wanaoridisha maendeleo nyuma kwa kusaini mikataba mibovu. Acha habari yako tusonge mbele Ukawa hoyeeee
Ni kweli ndugu. Huu ni mwanzo mzuri kuelekea demokrasia ya kweli.
CCM bado ina chance kubwa zaidi ya kuendelea kutawala. Upinzani ujiandae kwa kupata wabunge wengi zaidi Ili check and balance iwepo kwa ajili ya ustawi wa nchi
Katazame mnaolingana akili tbc
Hii Malaria mtapona tuu. Ngoja Dr.aongeze Dose. ccm must go whatever the case!!
mleta mada we ni mjinga sana..kama lowassa ni fisadi nenda mahakamani siyo humu....
Hizo hezabu zako niza wapi? Utafiti wa kuwaliwaza UKAWA?Tumeona kuchanganyikiwa kwa UKAWA baada ya Magufuli kuteuliwa, Kama haitoshiumekula matapishi yenu, Yule Fisadi sasa amekuwa Mtakatifu kwenu. Mjiandaekujitetea na kukanusha,baaada ya kushindwa mshikane uchawi!
Acha story za mwaka juzi hizo. CCM is dead lazima izikwe
Jamani naombeni kuuliza wakuu. nasikia dr. slaa kaludi ccm ni kweli?