Tulishuhudia mnagawa pesa kuanzia ndani mpaka nje, misikitini mpaka makanisani, kwa maaskofu mpaka mashekh n.k. Huyu ni mfanyakazi na mtangazaji wa Channel 10 ambayo inamilikiwa na Rostam ambaye ni rafiki wa Lowassa, si mwingine, ni Meshack Nzowa.
Nampa sana pole kwa kuumwa Nzowa lakini nawakumbusha matajiri wake, mahodari wa kutoa, wamsaidie kiasi cha pesa kinachohitajika ili aweze kwenda kutibiwa nje ya nchi, msijifanye hamna pesa ama hamuelewi yaliyomkuta!
Msaidieni ama sivyo hii ni aibu kubwa kwenu nyie wawili, hauwezi ukampenda Mungu usiyemwona na aliye mbali na wewe halafu ukaacha kumsaidia mtu aliye karibu yako sana.

Hizi ni dalili za Fistula ya ubongo,Rostam ameanza lini Kumiliki channel 10?

hadhiaki afya ya mtu ila yeye anaomba hao matajiri waweze msaidia afu jua kuwa huyo ni kweli ni staff wa chanel ten.rweye nadhani umekurupuka na kuandika ujinga.
1/meshack nzowa ni mmtangazajiwa tv1.
2/rostam aziz sio mmiliki wa channel ten.
*tusidhihaki afya za watu, meshark nzowa alipata ajali mbaya sana, kwa sasa anatafuta pesa ili apelekwe haraka india ili kuokoa maisha yake, mtu yoyote anaweza kumchangia. Ugonjwa wake usiwe ni sababu ya kuwadhihaki wengine.
hadhiaki afya ya mtu ila yeye anaomba hao matajiri waweze msaidia afu jua kuwa huyo ni kweli ni staff wa chanel ten.