Ngoma inogile Mzee Mkapa kuongoza kampeni za CCM.
Hii kauli mbiu ya Magamba ni mtaji wa anguko lao:HEBU TUANGALIE WAMETHUBUTU, WAMEWEZA NA WANAENDELEA KUFANYA NINI
A: TUMETHUBUTU:
1) Kufanya ufisadi wa kutosha na kupora rasilimali za wa TZ mf. wizi wa wanyama hai, rada, Richmond,
2) Kuwa na
rais wa kwanza barani Africa mwana anga(astronony) ambaye kwa miaka 6 ya uongozi wake amefanikiwa kuelea angani kwa zaidi ya siku 300 kwa chombo aina ya GULF STREAM bila kuanguka
3) Kuiba dhahabu yote na kuipeleka nje na tunataka migodi yote ibaki mashimo kama pale Buhemba kwa Mh. Mkono
4) Kuwarudisha akina Jairo bila kujali makelele ya wabunge kule Dom kwani wao ni hamnazo
5) Kuwaamuru polisi kuzima maandamano na inapobidi kuua raia wanaoshiriki maandamano ya kuwafungua watanzania macho.
6) Kutojisumbua kuwa na long term plan za kuwa na umeme wa kutosha na badala yake tunasubiri bwawa la Mtera likauke then tuanze mgawo wa umeme.
7) KU-EPALIZE na kuwatoa mhanga akina Maranda peke yao
8) kufanya madudu mengi ambayo yanasubiri za mwizi arobaini ili zilipuliwe .
B: TUMEWEZA:
Kuwa hadaa waTZ na kwa ujinga wao wakaendelea kuamini kwamba bila CCM eti hii nchi haitatawalika
Tumeweza kufanya yoote yaliyotajwa hapo juu yaani:
1) Kufanya ufisadi wa kutosha na kupora rasilimali za wa TZ mf. wizi wa wanyama hai, rada, Richmond,
2) Kuwa na
rais wa kwanza barani Africa mwana anga(astronony) ambaye kwa miaka 6 ya uongozi wake amefanikiwa kuelea angani kwa zaidi ya siku 300 kwa chombo aina ya GULF STREAM bila kuanguka
3) Kuiba dhahabu yote na kuipeleka nje na tunataka migodi yote ibaki mashimo kama pale Buhemba kwa Mh. Mkono
4) Kuwarudisha akina Jairo bila kujali makelele ya wabunge kule Dom kwani wao ni hamnazo
5) Kuwaamuru polisi kuzima maandamano na inapobidi kuua raia wanaoshiriki maandamano ya kuwafungua watanzania macho.
6) Kutojisumbua kuwa na long term plan za kuwa na umeme wa kutosha na badala yake tunasubiri bwawa la Mtera likauke then tuanze mgawo wa umeme.
7) KU-EPALIZE na kuwatoa mhanga akina Maranda peke yao
8) kufanya madudu mengi ambayo yanasubiri za mwizi arobaini ili zilipuliwe .
C: TUNASONGA MBELE:
1)Kuwaibia, na kuwanyong'onyesha na kuhakikisha waTZ ambao hawajaguswa na mkono wetu wafukarishwe kabisa ikiwa ni pamoja na kuwanyanganya ardhi yote nzuri ili tuwape wawekezaji
2) Kumalizia rasilimali zilizobaki ili zipatiwe wawekezaji na kwa sasa tunatafuta wawekezaji waki geni wenye uwezo wa kuwekeza ili tubinafsishe vitega uchumi vifuatavyo:
1. Mlima Kilimanjaro
2. Mbuga za Serengeti na Ngorongoro(hapa tayari tumeanza)
3. Kubuni na kuendesha shughuli za utalii maeneo ya magogoni likiwemo eneo la Mkulu
3. Maeneo yote ya wazi nchini
4. Kubinafsisha eneo lote la pwani ukanda wa bahari ya Hindi
5. N.k
Kwa hayo na mengine mengi ambayo Magamba wamewatenda wa TZ ndio maana CCM wanaomba kura za wananchi wa Igunga