Rostam kajitoa kufanya propaganda za CCM

Vita ya mipanzi ya ccm furaha kwetu chadema chama cha watz wote.............tehe....tehe......tehe..........migamba hiyooooooo
 
Naanza kupata hamu ya kuanza kuyasoma magazeti ya Rostam.
 
Jamani kisije kuwa kiini macho hicho,najua sasa wanafanya kila mbinu kujikosha,inabidi tuwe makini na hawa mafisadi.
 
Uzuri wake ni kwamba atauza magezeti mengi na ataingiza pesa huku watz tukinufaika na taarifa juu ya mafisadi wenzake ambao hawajavuliwa kama magamba!

Go go go go RA, pigana kiume mpaka magamba mengine yaliyobaki yavuliwe!
 
unaota mkuu.kwani ccm haiangushwi kwa magazeti, ccm mtaiangusha kama wanachama wake wote ambao ni wengi sana sana na huwa hawana time ya kusoma magazeti mkifanikiwa kuwa convert, otherwise ur dreaming and u will remain dreaming, pole sana.

Wacha uongo wewe, huwa tunasoma magazeti na ndio maana tunahabari za kutosha kuhusu chama chetu. Hata kujivua magamba tulijulishwa na magazeti. Tatizo lako wewe unajifanya kukisemea chama chetu wakati uwezo wa kujenga hoja huna, matokeo yake unaishia kutoa upupu na kusababisha chama chetu kichukiwe kutokana na mawazo yako finyu. Nakusihi uache kujifanya kuwa msemaji wa chama. Waachie wataalamu wa chama.
 
Mpaka sasa swali langu kubwa ni kwamba huyu Rostama ana nini hasa. Ameandikwa sana na magazeti..yaani mpaka watoto wanamfahamu lakini sijawahi kusikia hata kaitwa kuhojiwa. Whyyyyyyyyyyyyyyyy???????

Swali zuri kabisa! Nani atamhoji? Kwenye kampeni za Kikwete za mwaka 2005 yeye ndio alikuwa mweka hazina, pesa zote zilizokuwa zinachotwa serikalini zilikuwa zinaingizwa kwenye account zake kwanza kabla ya kuzipeleka kwenye kampeni, wakati huo huo Edward Lowassa yeye ndio alikuwa mwenyekiti wa kamati. Ki ufupi wao ndio waliu-cordinate ule mtandao uliomwingizwa Kikwete madarakani na mbali na hizo fedha za wizi walitoa pia hela zao za mfukoni kuhakikisha ****** anaingia Magogoni. Wengi wa Mawaziri, wabunge na wakuu wa mikoa na wilaya wametokana na mtandao ambao yeye (RA) na Lowassa waliu-cordinate, sasa katika mazingira hayo mkuu unategemea kuna wa kumgusa? Amefanikiwa pia kupenyeza watu wake kwenye system kwa mfano Salva Rweyemam, Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu , Waziri William Ngeleja na January Makamba ni product za Rostam Aziz. Ku-deal na mtu wa namna hii ni kazi sana hasa ukizingatia kwamba ni kweli wao ndio walimwingiza Kikwete madarakani tena kwa wizi wa pesa za walipa kodi wa Tanzania. Jamaa mtandao wake serikalini , kwenye chama na nje ya hapo unatisha na ana nguvu kubwa ya pesa ndio maana unaona hawamhoji hata baada ya kuandikwa sana na magazeti. Mtandao wa Edward Lowassa ni mkubwa zaidi, sasa ukiwa unganisha pamoja wana nguvu kubwa! Kauli kama za kina Nape Nnauye kwamba hakuna mtu mwenye umaarufu zaidi ya chama au zile za baadhi ya watu kusema Rais anaweza kuwashughulikia ni za kujifariji na kujidanganya tumeshuhudia South Africa, Thabo Mbeki akiwa Rais akishindwa vibaya na Jacob Zuma kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa ANC na hatimaye kupoteza urais. RA, EL na Jakaya Mrisho Kikwete wote ni mafisadi ambao ni nguvu ya umma tu inaweza kuwashughulikia na si vinginevyo!!
 
Ehe bwana ehe! Kwe ni chama cha majambazi (ccm).Nimehamini.
 
Wacha uongo wewe, huwa tunasoma magazeti na ndio maana tunahabari za kutosha kuhusu chama chetu. Hata kujivua magamba tulijulishwa na magazeti. Tatizo lako wewe unajifanya kukisemea chama chetu wakati uwezo wa kujenga hoja huna, matokeo yake unaishia kutoa upupu na kusababisha chama chetu kichukiwe kutokana na mawazo yako finyu. Nakusihi uache kujifanya kuwa msemaji wa chama. Waachie wataalamu wa chama.

Chama chenu wewe na nani? Chama gani? Usije ukawa unadandia train kwa nyuma.
 
Rostam anaweza kutusaidia kuwapa wananchi ukweli kuhusu magamba ndani ya CCM, vyombo vyake habari vikitumika vizuri hata JK atajikuta ana gamba kubwa.
 
CCM itakufa tu! Jamii inayopigana vita vya wenyewe kwa wenyewe haitapona. CCM inajitengenezea mauaji ya KIMBARI. Na utamu/ubaya wa mauaji haya ni sawa na kumkoma nyani giladi. Hakuna kuangaliana usoni.

Chama chochote cha upinzani makini, kinapaswa kujijenga (kiitikadi) sasa kwa kuanzia ngani za chini. CCM imesahau ngazi za chini, ambazo enzi zake, watu waliweza kujipanga barabarani na kuusubiri mwenge kwa masaa sita bila kuchoka wala kutafakari.
 
Back
Top Bottom