Rostam kajitoa kufanya propaganda za CCM

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
298
Magazeti ya Rostam sasa yanafanya kazi ya kukosoa serikali na ccm. Ni vita ya mitandao ya CCM. Magazeti hayo hajawahi kuandika mazuri kuhusu mageuzi ya uongozi ndani ya chama cha mapinduzi.

CCM imebaki na jambo leo, habarileo na uhuru.

Nadhani ni muda mzuri wa kuiangusha CCM.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Eeeeeeeeeeeeeeeeh Poa yeye na CCM wapi na wapi,tena angejua ni vyema angewaagiza Wahariri wake kuandika habari za maendeleo huko mikoani na vijijini ingekua busara hata judgement wangempunguzia maumivu, aliyekupa Pesa unamtukana anajua wapi pa kuanzia hata kama utaamia pasipofikika patakua wapi vile.....................Drama inaendelea..............................USHINDI NI WA WATANZANIA.
 
mmh! Hivi ndio vita vya panzi haswaaa! Mwisho wao uchawi, mafisadi ya kweli kujulikana si kitambo!
 
Magazeti ya Rostam sasa yanafanya kazi ya kukosoa serikali na ccm. Ni vita ya mitandao ya CCM. Magazeti hayo hajawahi kuandika mazuri kuhusu mageuzi ya uongozi ndani ya chama cha mapinduzi.

CCM imebaki na jambo leo, habarileo na uhuru.

Nadhani ni muda mzuri wa kuiangusha CCM.
1. changamoto
2. Tazama
3. Taifa Tanzania
4. Hoja
5. JAMBA Leo
6. Tathmini
7. Msanii Africa
8. Daily News

yote yanafadhiliwa na MAGAMBA
 
Waache waendelee kumalizana nani kakwambia haki inapotea!!ndambi waloyoifanya mafisadi itawatafuna hata vizazi vyao
 
unafiki wa jk kwamba hakufanya ufisadi sasa utam-cost cheo, sio muda watu watarusha habari zake za jikoni
yeye kawekwa hapa na mafisadi leo anajifanya yeye hakuiba ili wenzake waukumiwe wakati yeye na familia yake wanakula raha
 
Hiki kipindi cha ccm kujiosha na kutambua wenye uchungu na chama, magamba yote mwishowe yataishia pabaya, aliyeshika dola ni tofauti na usiye na dola! Hivyo dham za ra zinaishia ukingoni, hatimaye atarudi kwao iran na kuwaacha solemba akina el na ac
 
Magazeti ya Rostam sasa yanafanya kazi ya kukosoa serikali na ccm. Ni vita ya mitandao ya CCM. Magazeti hayo hajawahi kuandika mazuri kuhusu mageuzi ya uongozi ndani ya chama cha mapinduzi.

CCM imebaki na jambo leo, habarileo na uhuru.

Nadhani ni muda mzuri wa kuiangusha CCM.

Hapo bila shaka unamaananisha 'jamba leo' -- No?
 
CCM iache ife Kifo cha Mende imetuumiza sana. Imelea magaidi wa uchumi na magaidi hao hao wamegeuka na kukihujumu Chama Chao cha Magamba oyeeeeeeeeeee!
 
Magazeti ya Rostam sasa yanafanya kazi ya kukosoa serikali na ccm. Ni vita ya mitandao ya CCM. Magazeti hayo hajawahi kuandika mazuri kuhusu mageuzi ya uongozi ndani ya chama cha mapinduzi.

CCM imebaki na jambo leo, habarileo na uhuru.

Nadhani ni muda mzuri wa kuiangusha CCM.
unaota mkuu.kwani ccm haiangushwi kwa magazeti, ccm mtaiangusha kama wanachama wake wote ambao ni wengi sana sana na huwa hawana time ya kusoma magazeti mkifanikiwa kuwa convert, otherwise ur dreaming and u will remain dreaming, pole sana.
 
Mpaka sasa swali langu kubwa ni kwamba huyu Rostama ana nini hasa. Ameandikwa sana na magazeti..yaani mpaka watoto wanamfahamu lakini sijawahi kusikia hata kaitwa kuhojiwa. Whyyyyyyyyyyyyyyyy???????
 
unaota mkuu.kwani ccm haiangushwi kwa magazeti, ccm mtaiangusha kama wanachama wake wote ambao ni wengi sana sana na huwa hawana time ya kusoma magazeti mkifanikiwa kuwa convert, otherwise ur dreaming and u will remain dreaming, pole sana.

umenena,
 
usimwamshe aliyelala.
Media inafikia watz laki tatu alafu iangushe nchi.
Kaenezeni chama rural area ama la mmeliwa
 
Kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho,wananchi wanatafuta hela kwa jasho lao na wanalipa kodi katika taifa wenyewe wanakuja na kuzitumia vibaya zile hela, so mwisho wa CCM ndio huu umefika....na itakuwa aibu sana kwao...na movie inakuja tusubirie tu.....Maana JK anajifanya msafi na kuwatema wachafu kumbe wote wapo group moja na ni wachafu......
 
Back
Top Bottom