Chinua Achebe: "Things Fall Apart"
Ulikuwemo kwenye vikao hivyo uliposikia wanataja majina? Na habari yenyewe ya Mtanzania naanza kui doubt, tungepata nakala badala ya tafsiri ya Tina.Katika vikao vya CCM List of Shame ya Chadema haijajadiliwa bali walijadili Richmond, Dowans, Kagoda na Rada na waliwataja kwa majina Lowassa, Rostam na Chenge.
You cant fool all the people, all the time
You mean kama ya wamarekani?i'm waiting for the TEA PARTY within CCM !
.....I saw with my physical eyes utawala huu ukianguka and have been warning them lakini wakaona kama vile ni utani. Watch and see the best is yet to come!
U sound like Prophet TB Joshua! Ha ha ha, no offence!
We form the same body he might be the eyes and I the ears of that body!
je ni nani atakuwa Okonkwo 'Amalinze the cat' yaani asiiye angushwa kamwe?