Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 56
MWAFRIKA WA KIKE swahiba mwenye akili, nakuuliza suala njaa imekukabili, nusu ya mwezi hujala likaja kombe la wali, ukawekewa mahala hula ndipo ukanawa, au hunawa kisha ukala
CHADEMA watahitaji watanzania wengi zaidi ya Mnyika ila wewe sio one of them maana katika moja ya postings zako huko nyuma kabla hujabadili jina hapa JF ulieleza kuwa unamission ya kummaliza mzee mwanakijiji. For now bora Mnyika kuliko wewe maaana angalau mnyika ataongea mambo ya nchi na sio kumaliza watanzania wenzake personally.
BWANA GAME
HABARI ZA JIONI
NAKUNGA MKONO ASILIMIA 100 ZA ZAIDI KUHUSU MNYIKA KUTOKUPEWA NAFASI HUYU KIJANA NI DHAIFU MIMI NIMEMWONA MARA NYINGI HAPA UBUNGO MIMI NI MKAZI WA KIMARA KWAHIYO UBUNGO NI KWANGU PIA NIMEKUA NAMUULIZA MASWALI MARA NYINGI HAPA JAMBO HAJIBU , NIKAMPIGIA SIMU HAJIBU MPAKA SIKU NILIMWALIKA KATIKA DEBATE PALE UDSM AJE TUMUULIZE MASWALI MACHACHE YOTE HAYA HAJAJA KWAHIYO HUYU NDIO KIONGOZI GANI NA ALIKUA ANATAKA UBUNGO YETU ?
BORA KEENJA TUNAYEMJUA ANALALA BUNGENI NA HANA MPANGO WOWOTE NA UBUNGO
MWAFRIKA WA KIKE
KUNA NJIA MBADALA YA KUPIGANA NA HAWA WALA NCHI YETU NAYENYEWE NI KWA NJIA YA MTANDAO , NIMEONA KATIKA MAJUKWAA YA FORUMS KAMA HIZI WENGINE WANACHANGANYA MADA KWA MAKUSUDI AU WENGINE NI MASHABIKI WA CHAMA KWAHIYO HAWAPENDI KUONA JAMAA ZAO WANAKOSOLEWA UKIKOSOA TU AU UKISEMA KITU SENSITIVE BASI ATATAFUTA NJIA YA KUJUANA NA WEWE , UKO WAPI JINA LAKO HALAFU ANAPELEKA KWA MHUSIKA HIYO NI MBAYA
SASA NJIA NZURI NI KUANZISHA BLOGU KWA MAJINA TOFAUTI AU KUFUNGUA FEED ZA EMAILS KWA MAJINA TOFAUTI KULE UNAWEKA EMAIL ZA WATANZANIA KIBAO UNAWATUMIA HABARI ZAKO NA BILA KUKUJUA WEWE NI NANI
KWA SASA NINA CONTACT ZA WATANZANIA KARIBU 3000 WALIO SEHEMU MBALI MBALI KWAHIYO NIKITUMA EMAIL YOYOTE NAKUA KAMA NIMEIAMBIA WILAYA MOJA YA TANZANIA KWAHIYO HUYU RASTAM NJIA YA KUMMLIZA NDIO HIYO KUTENGENEZA EMAILS NA KAMPENI KABAMBE
AHSANTE
CHADEMA au CUF ni zaidi ya viongozi au watu binafsi. Utashangaa kuwa CCM wanapondea vyama vya upinzani lakini nilipohudhuria moja ya mikutano ya JK na timu yake walivyokuja kutalii oooppps kutafuta wawekezaji kiwanja..... moja ya statements zilizosemwa sana ni namna Tanzania ilivyo na demokrasia huku mmoja wa wajumbe akitaja CUF na CHADEMA kama mfano...
Hoja ya thread hii ni kuhusu Spin ya mkoloni na mwizi Rostam Aziz na sio kuhusu anti-CHADEMA thread..
Kazi nzuri SHY,
Nilisoma ile post uliyotoa kuhusu hii issue na niliipenda idea yako.
..hiyo post yako at #60 imenikumbusha graca machel-mandela!
..ingekuwa enzi ya upigania uhuru makomradi wangekua na furahaa wewe kuwa mmoja wao!
..keep the spirit up!
Tatizo la nchi na mikataba isiyo wazi huwezi kuliangalia katika mtizamo wa kuuza magazeti.... Akili yako na elimu yako vinatosha kukufanya uchunguze na ueleze vitu kwenye picha kubwa sio swala la kuuza magazet..... Britney Spears naye anauza sana magazeti hapa kiwanja kama ilivyo kwa Hilary Clinton, je kuna connection yoyote kati ya hawa wamama wawili?
rejea speech ya ya spika wakati anamsimamishaUna maana gani unaposema kuwa Zito anafanya populist gimick?unaweza kuita hiyo statement kejeli au hoja?
Another cheap shot, nilikuambia toka awali siko hapa kutupiana matusi lakini looks like mwenzangu hilo ni muhimu kwako. I am not sure far are you willing to go na hiliUsianze kulia sasa kama mtoto mdogo!
Prove otherwise kama wewe sio CCM
At one point unashauri watu kusoma recommended books za media na wewe mwenyewe hujui moja ya mbinu kubwa watu wa kwenye media wanatumia kupata info...
Huoni kama ni aibu mtu mwenye hadhi yako kudanganya? kama una nia nzuri huna haja ya kupretend. Hukuwa na haja ya kupretend in the first place. na unaonyesha ni msomi hivyo ulishindwa vipi kuuliza kuwa wanalitumia kipengele gani kujustify kuwa mikataba haiwezi kuonyeshwa? Huoni kama mmlikuwa waongo ndio maana mkashindwa kupata jibu sahihi?Nilipretend kuwa nafanya research lakini nilimtumia researcher maarufu sana hapa kiwanja. Jibu la serikali lilikuwa ni kwamba hiyo mikataba ya madini haiwezi kuwekwa public na wakasisitiza kuwa hata baadhi ya wabunge hawaruhusiwi kuiona.Wewe endelea tu kutumia talking points za RA bila kufanya research yako mwenyewe....
Nionyeshe wapi nimesema CHADEMA hawako well informedUnataka kulia sasa? CHADEMA wakisema kitu unadai kuwa hawako informed well.... na on the other side unataka watoe statement kwa kila kinachoendelea nchini... unachotaka hapa ni nini?
Nimeomba uprove hizi allegations lakini naona hujanipa majibuOf course Rostam ni mkoloni na mwizi wa mali za nchi yetu... siku ukitoka kwenye payroll yake utarealize hili.
Ni wapi nimetoa hiyo justification?Nani alikufundisha kuwa jambo baya linakuwa justified kwa tendo lingine baya? ......
CHADEMA watahitaji watanzania wengi zaidi ya Mnyika ila wewe sio one of them maana katika moja ya postings zako huko nyuma kabla hujabadili jina hapa JF ulieleza kuwa unamission ya kummaliza mzee mwanakijiji.
Thanks,
Najua Siwezi hata kidogo kujilinganisha na Graca. Hata hivyo nashukuru for you kind words.
Actually inategemea ni magazeti ya namna gani unayoongelea. Kama ni broadsheet then kama uko States then nadhani unajua kuwa issue inayouza magazeti wa wiki hiyo iliyopita ni ugomvi wa Karl Rove na Hilary Clinton, Bush kulinganisha Vietnam na Iraq while in UK ni issue ya Rhys Jones na UK troops widhrawal from Basra...na zote zinauza....Umetoa mfanowa Britney lakini Britney hauzi sana kwa kuwa katika front page za magazines since atoke kwenye rehab, sasa hivi LILO au Lindsley Lohan na Ammy Winehouse wanauza sana hizo magazines so check your data on best selling stories on both sides of the Atalantic
rejea speech ya ya spika wakati anamsimamisha
Another cheap shot, nilikuambia toka awali siko hapa kutupiana matusi lakini looks like mwenzangu hilo ni muhimu kwako. I am not sure far are you willing to go na hili
Nilikuuliza wewe kuwa nionyeshe wapi nimesema kuwa mimi ni CCM? Nionyeshe wapi nimesema najua mbinu za watu wa kwenye media?
Huoni kama ni aibu mtu mwenye hadhi yako kudanganya? kama una nia nzuri huna haja ya kupretend. Hukuwa na haja ya kupretend in the first place. na unaonyesha ni msomi hivyo ulishindwa vipi kuuliza kuwa wanalitumia kipengele gani kujustify kuwa mikataba haiwezi kuonyeshwa? Huoni kama mmlikuwa waongo ndio maana mkashindwa kupata jibu sahihi?
Nionyeshe wapi nimesema CHADEMA hawako well informed
Nimeomba uprove hizi allegations lakini naona hujanipa majibu ...Ni wapi nimetoa hiyo justification?
HABARI ZA JIONI MWAFRIKA
.....MWAFRIKA WA KIKE UNAJUA SEHEMU INAYOITWA MINERAL CENTRE HAPA DAR ? NITAKUPA HABARI ZAKE SOON
Mwaka 1996 Nikiwa Darasa La 6 Mtu Mmoja Alipenda Sana Kuimba Na Kuiga Mambo Kama Tupac , Siku Moja Mwalimu Akamwita Na Kumuuliza Unapenda Kua Kama Nani Akajibu Tupac .
Mwalimu Akamwambia Kila Mtu Hapa Duniani Ni Tofauti Huwezi Kua Kama Yeye , Lakini Unaweza Kuwa Na Vitu Vinavyoshabihiana Kutokana Na Ushabiki Wako Kwake Au Jinsi Wewe Watu Wanavyokuona Na Kukufananisha
Bali Unaweza Kua Zaidi Yake Ukabidilika Kidogo Kutokana Na Mazingira Uliyopo
Ndio Nakuja Katika Point Ya Da Si Lamu Kwa Mwafrika Wa Kike , Ndio Huwezi Kua Kama Mandela Lakini Unaweza Kua Zaidi Yake Kutokana Na Mazingira Unayoishi Na Changamoto Unazokutana Nazo Katika Harakati Zako Bila Kusahau Support Kutoka Kwa Wale Wanaokuunga Mkono Kama Mimi
Unaendelea kuongopa hebu lete hiyo quote ambayo unadai nilisema kuwa nina mission ya Kuumaliza Mwanakijiji na kama ukishdwa then naomba uondoe hayo matamshi yako hapo juu
No siijui ila nitashukuru ukinipa habari zake
Tatizo kubwa tulilonalo TZ na Africa kwa ujumla ni kwamba the so called wasomi, wengi wenu mnabwekea nje ya geti (ughaibuni) na hamko well informed na maisha ya wananchi wa kawaida wanao hangaikia mlo wa siku. Wengi wenu humu, mi nadhani its high time, muombe likizo muendee Kigoma, Buzirayombo, Shelui, Mpanda,Misungwi au Kasulu muone watu wanavyoishi na muache kutegemea internet na media za kitapeli za bongo. Njoo uone tunavyoishi huku na sio kutumia data za google kuangalia maisha ya watu ambao hawana uhakika wa aspirini. Huwezi pata picha sahihi kwa mtaji huo.
Jamaa hapo juu ameelezea safi kabisa, leo ni mwaka 2007 sio enzi za chama kushika hatamu, tatizo la wengi humu ni kuamini kwamba watanzania but tuko guided na sera za unyonge na ujamaa ndo maana wengi hamuishi kumnukuu Nyerere. Jmani fikra zinabadilika.
Mi personally nilimpigia kura JK, ila leo ukiniambia nikapige kura, I swear JK hawezi pata kura yangu na si mimi pekee yangu ni wengi humu kijijini kwetu! Kwa hiyo jua watu tunaamka taratibu. Kauli ya Mbowe, ingawa mimi si Chadema ila nakubaliana nayo Heri mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi. Mi naamini aliyeko nje, anajitafutia Riziki kama mwana Adamu yeyote yule. Ila, tufike point tujue mageuzi ni jukumu LETU SOTE, Tanzania si ya Chadema wala CCM! Kwa nini inapokuja swala la kuilaumu CCM tuko pamoja, lakini likija swala la kutafuta njia mbadala ya haya matatizo, wote tunaelekeza shutuma kwa Chadema na CUF? huu ni ufinyu wa akili. Mara Zitto hana data, Slaa hana hiki, Seif hana hili, we jiulize we umefanya nini? atleast wao mchango wao umeonekana, wewe umefanya nini zaidi ya kukosoa tuu, tena kwenye internet ambayo mamilioni ya wapiga kura hawafiki? Kwa lugha nyingine mtu kama huyu ni irrelevant kwa harakati za kuikomboa Tanzania kwenye lindi la umaskini, maana huna link na walengwa.
Watu mnatoa hoja kwamba watu wanaendekeza njaa ndo maana hawatoki CCM, lakini mnasahau kwamba wenyewe mko ughaibuni, mnaogopa kurudi home kwa sababu mazingira yalipo hayawapi nafasi ya kuendeleza maslahi binafsi! What hypocricy?
Yaani watanzania tuichukulie TZ kama kampuni ambayo wote hapa ni shareholders not by any reason but by birth! Kwa hiyo kila mtu anajukumu la kutetea maslahi ya kampuni kwa sababu ni mwanahisa wa kudumu na hawezi kunyang`anywa hisa zake na mtu yeyote, kwa sababu alipata hizo hisa kwa sababu yeye ni mwanachama wa kampuni kwa kuzaliwa. I will be the last person to criticize Zitto au yeyote anayefanya kitu (hata kama kina mapungufu). Kila mtu aiulize nafsi yake. AMEFANYA NINI????
Nasema tena, nimekuwa MPIGA KURA wa CCM mda mrefu, ila nimegundua tunachezewa shere hapa. na hasira zangu nitazipeleka kwenye sanduku la kura 2010. Inshallah.