Rostam Aziz kuvuliwa Uraia?


hivi hili swala liliishia wapi vile 🙂:coffee:
 
Mtikila hana kazi nyingine ila wimbo wa huyu si Mtanzania! alianza kwa kumpakazia Mwalimu Nyerere kuwa alitokea Congo! baadae Mkapa kuwa katokea Msumbiji! hatutasahau kwa kauli yake ya miaka ya 90 ya kuwa Wahindi wote hapa nchini si raia na ni wezi warudishwe kwao!

Si Nyerere wala Mkapa waliomfungulia kesi mahakamani kwa kuwakashifu na kuwaita si Raia! wote walimdharau na kumuona mropokaji tu! ndio maana Mahakama ilimpata na hatia na kufungwa jela!

Ukimuona mtu anashupalia ubaguzi wa rangi na kuimba wimbo wa huyu si raia huyu si raia! basi jua anakasoro kiakili! huyu Mtikila sijui nimweke ktk kundi gani! mara ni Mchungaji wala kanisa analoliongoza halijulikani! mara anataka Urais! sijui chama chake DP kinawananchama!

Tumechoka na uchochezi wa Mtikila! hatujasahau jinsi alivyomtusi Mzee Mwinyi na Mke wake wakati wa awamu ya pili na kuwaita Waizi wa mali ya Walalahoi bila ushahidi wowote!

Mzee Mwanakijiji, kama Mtikila anaushahidi wa Uraia wa Rostam basi aupeleke Uhamiaji kwani ndio kazi yao hiyo kwa mujibu wa sheria!
Haingii akilini mtu azaliwe Iran, akulie Irani, asomee shule za msingi Iran, secondari na vyuo vikuu Uingereza, halafu aje kuwa mwanasiasa Igunga anaezungumza Kiswahili fasaha kuliko Reginald Mengi wa IPP!!!!
 
Rustam Sakarir Chakaar Abdurasul Aziz Rostam "Mchelee"!!

The King maker! I salute You!, kwa umri ulio nao Mzee umefanikiwa sana.

Pokea HONGERA kutoka kwangu ya dhati kabisaaaa!

FP

WEWE PAMOJA NA YEYE SIKU ZENU ZINAHESABIKA.
Akina REGIA MTEMA NA ZITTO KABWE HIYO HOJA MMEIONA? MNAONAJE HATA MKATUMIA BUNGE KUULIZIA URAIA WA ROSTAM AZIZI?
 
Wewe una uhakika ameipata kienyeji ? Au unafuata mkumbo tu
wewe Shyrose sijui Shy .. siku utakapotambua nini unatakiwa kuifanyia tanzania then hutakuwa na U%nE unaojifanya kutetea wehu..
nenda kaendeleza uwehuwehu wako kwao tu
:angry: .. sasa wewe usiefuata mkumbo mwenzio amesema ameipata kienyeji msafishe wewe! au twambie uhalali wa yeye alivyoipata kihalali sio kukurupuka tu na ushoga wako unaanza kuleta ishu za k,,,,,ge hapa... manina zenu wote wewe na rostchungu wako na wenye fikra za kiwendawazimu kama wewe shinyanga shoga....
 
Hivi jina la Shakir Aziz halipo katika wamiliki wa Dowans LPTY? USA, South Africa an Caribean
 
"Haingii akilini mtu azaliwe Iran, akulie Irani, asomee shule za msingi Iran, secondari na vyuo vikuu Uingereza, halafu aje kuwa mwanasiasa Igunga anaezungumza Kiswahili fasaha kuliko Reginald Mengi wa IPP!!"

Nimekubaliana na wewe katika hilo!!! Mbona connection inapotea? Kwa kweli simpendi Rostam hata chembe lakini naona kama si busara kupoteza muda kujadili tuhuma kama hizi za Mtikila ambazo hazina kichwa wala miguu.
 
Na afisa uhamiaji wa kwanza aliyegoma kumpatia uhalali wa kuwa raia halali alimtanguliza mbele za haki...mtoto wake wa kike ana uhusiano wa kiuchumba na mheshimiwa mmoja...analindwa na usalama wa taifa na well trained body guards ambao ni wake binafsi ..wamarekani walituambia mtu huyu si mzuri toka 1992...

Ana mamlaka katika ofisi ya raisi ya iran katika kitengo cha utafutwaji wa madini ya uranium hapa afrika...ndege nyingi zilizotua mwanza zilisheheni uranium kutoka kongo kwa usimamizi wake....ana makucha hata kwa viongozi wakuu wa afrika mashariki na ana vikao nao kila mwezi kuanzia ngazi ya uwaziri kwenda juu.


NAJUA ZAIDI YA HAYA NA NDIYO MAANA NAPATA HASIRA ...NIMFANYE NINI MTU HUYU?:sad:
 

Kama una hasira kweli jilipue kwa petroli halafu huku nyuma sisi tutalipuka na kufanya kama yale yaliyotokea Tunisia na MIsri! vinginevyo usitudanganye ati una hasira za mkizi!!!!
 
Looo, Kumbe. Ndio maana, nilikuwa najiuliza mabilioni yote hayo kutoka tansco, yanashabikawa na mzalendo. nasi twalala giza ati?
 
pumbavu nyie wote ....wacheni mambo ya uraia.... Kyela sisi hatujuhi yupi ni mmalawi na yupi ni mtanzania.Kuna mwanajeshi tumezika juzi wazazi wake wote wako upande wa malawi,ikapidi tuzike na kusubiri wanajeshi waondoke zao na baada tu ya kuondoka kilio kikaamia ng'ambo ya pili.
 

sio kosa lako kutukana watu, bali kama ulizaliwa guest na mama yako alikuwa muuza bar, unategemea utakuwaje? tumekusamehe.
 
Kama ningekuwa na uwezo wa kuongea nae basi huu ungekuwa ushauri wangu.
Watanzania ni watu wenye upendo na wanasamehe
Sasa hivi watanzania wanashida nyingi, pamoja na umeme
Watanzania wanawaogopa sana mafisadi
Nafikiri wakimaliza vikongwe watageukia fisadi
Huu ni wakati wa kujisafisha
Mbona yule mzee kaachia mgodi, heshima yake imepanda
Kama kuna issue yoyote basi, tengeneza mambo

Sina Tatizo Na Binaadamu Mwenzangu. Ni swala la kujiweka safi mbele ya mwenyezi Mungu.
 
WEWE PAMOJA NA YEYE SIKU ZENU ZINAHESABIKA.
Akina REGIA MTEMA NA ZITTO KABWE HIYO HOJA MMEIONA? MNAONAJE HATA MKATUMIA BUNGE KUULIZIA URAIA WA ROSTAM AZIZI?

Huyo ndio Baba lao, hawawezi.:A S 20:
 
ktk profile yake ya bungeni hamna date or place of birth, ameweka elimu ya chuo kikuu tu,na hamna chuo alichosomea wabunge wengine you can see all their details.
cheki profile ya RA bungeni[ click on the nyekundu word

 

Pamoja na majeraha ninayopata ya Man U ...nakubaliana na hoja kuwa Mtikila anaweza kuwa mchochezi, kisha nimeona watu wote aliotoa uchochezi kwao hawakupuuza walichukua hatua,

Ingekuwa vema fisadi huyu achukue hatua hiyo..

Hata hivyo umeonyesha anafahamu kiswahili fasaha..I wonder why he hasn't bothered to put it in good use for asking even a single question so he can do justice to those who elected him.....

Lastly my dear, whether this gent is a Tanzanian or not..its about time he pays dearly for the situation that we are all in,

whether u or anyone is benefiting from it and thus can keep on praising and 'campaign on cleaning spree' is yet to down on people's public court, in people's eyes he is so stinking u can smell him 5 kilometers(sp) from here...

there is absolutely nothing anyone can do really to rid him of the tainted opinion justified and verified by the massive Tanzanian public
 
Kutokana na mkanganyiko na matukio ya upotevu wa rasilimali za taifa tumeona miongoni mwa watu wanaotuhumiwa na wananchi wengi ni rostam ingawa serikali inaweza kusema haina uthibitisho kutokana na matendo hayo ya kimafia lakini naomba ichukue hatua ya kufuta uraia wa mtu huyu na kutaifisha mali zake .

je wanaju mnadhani mbali na rostam tuiombe serikali kufuta uraia wa watu gani wengine?
 
Kwanza unaongelea serikali ipi?...ya JK au?

Bila kwenda mbali kuwatafuta wachawi wengine, kama ikiwezekana kumshughulikia huyu tu kwanza, Tanzania itapona kwa 50% kwenye uchumi na siasa!
 
Kwanza unaongelea serikali ipi?...ya JK au?

Bila kwenda mbali kuwatafuta wachawi wengine, kama ikiwezekana kumshughulikia huyu tu kwanza, Tanzania itapona kwa 50% kwenye uchumi na siasa!
Ni wakati huu wa kuiomba ikibidi kuishinikiza serikali hii ya jk na kama haitatimiza maombi ya wananchi tujue moja hatuna serikali na jinsi gani wananchi watashughulikia matatizo yao
n
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…