RA ni mdogo sana kwangu. Kufahamu alikosoma msingi, sekondari sio rahisi. Angekuwa sio Mtanzania, CCM na hata vyombo vya DOLA wasingeweza kulifunika hili. Ana "maadui" wengi kisiasa na kibiashara na hata wenye chuki tu zisizo na sababu. Unadhani Mzee wetu Mengi angemwacha na vyombo na nyenzo zote alizonazo?
RA kwao ni pale Mwisi, Igunga. Mliowahi kupanda mabasi ya MAMLO enzi hizo mtawafahamu ndugu zake. Ileteni kwanza sheria ya URAIA wa NCHI yetu halafu ndipo tulijadili kwa kina na mwelekeo sahihi suala hili.
Waarabu na WaIran wa Tabora tunao wengi tu.
Kigezo kimojawapo cha kugombea ubunge ni uraia. Unasema "tuulizane sisi wenyewe," kwani wote tunagombea huo ubunge??!!!Kihistoria makabila karibu yote hapa tanznaia ni ya kuja labda tuulizane sisi wenyewe tumewahi kukana uraia wa huko tulipo toka babu zetu walikana uraia wa nchi hizo ?
Kihistoria makabila karibu yote hapa tanznaia ni ya kuja labda tuulizane sisi wenyewe tumewahi kukana uraia wa huko tulipo toka babu zetu walikana uraia wa nchi hizo ?
...baadae mtahojiwa NINYI....!
kwamba ''huko mliko'' mmeukana URAIA WENU?
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
bwana harusi mbona umecheka sana?hahahha
Steve,Sasa inakuwa vigumu vipi information hizi kuwekwa wazi?? Kwani this type of information is classified kwa mtu anayegombea ubunge; mtu kuonesha aliposoma na alipozaliwa au kuukana uraia wake wa asili?!
Mzee Petro Midelis Sengerema naye ni Marehemu. Wazee wale wa Mwisi na wengine walikuwa pale Sungwizi ndio wazazi na ndugu wa RA.Hao ndugu ni baba na mama yake? ni ndugu au marafiki? au unamaanisha walikofikia alipoingia tz? Mwenye ukweli kuhusu uraia wa RA anaweza kuwa mzee Sengerema (ikiwa yuko hai) aliyekuwa chairman wa ccm mkoa wa Tabora maana ndiye aliyempandisha chati ndani ya ccm baada ya mzee kabeho kufariki.
Mzee Petro Midelis Sengerema naye ni Marehemu. Wazee wale wa Mwisi na wengine walikuwa pale Sungwizi ndio wazazi na ndugu wa RA.
Waandishi wa habari za uchunguzi waende Mwisi, Sungwizi na Nkinga. Watapata kila wanachokitaka kuhusu RA. Vinginevyo tuendelee kutia soga za akina Mtikila humu ambaye alimkana hata Nyerere wetu.Pale Sungwizi hakuna vijana waliokuwa rika moja na Aziz? Can someone tell me that "...Aziz alikuwa anasoma xyz miaka ya uvw na likizo alikuwa anakuja hapa na mara nyingi alikuwa akimtembelea mzee abc e.t.c" Mbona there few details re Aziz's early days life?
Kigezo kimojawapo cha kugombea ubunge ni uraia. Unasema "tuulizane sisi wenyewe," kwani wote tunagombea huo ubunge??!!!
Sasa naamini kuwa CCM na serikali yake ni MATEKA wa MAFISADI!! watanzania tumekosa nini? kufa kwa Mwalimu Nyerere ndio kumewafanya viongozi wa CCM kuwa vipofu namna hii? kinacho wafanya wanamn'gang'a nia FISADI nini? huyu jamaa anaitoa wapi jeuri yake?
Umenikumbusha comrade...ingekuwa enzi za mwalimu..angekuwa ndani kitambo..unakumbuka lile giriki....? Aliiweka mfukoni serikali ya mwalimu...Kama huyu..tofauti wakati ule kulikuwa na raisi...bt now tuna mtawala....swahiba...:mad2::mad2::mad2:
watu wengi tanzania uraia wao una maswali mengi kutokana na taratibu zilizokwepo