Rostam Aziz alikuwa anatimiza maagano

Rostam Aziz alikuwa anatimiza maagano

Piia after lowasa ametoka kwennye system na sasa hayupo kwenye system kwanini wasimpeleke court???
 
Jibu ni kwamba, tunahitaji mabadiliko ya uongozi, utaongozwa na chama hicho hicho hadi lini, acha vyama vipokezane ili vijifunze na kujiandaa kuleta maendeleo.

Kuku wewe,hapa vinapokezana vyama au watu walewale?unaweza kuchukua majizi ya ccm yaingie Chadema alafu uite vyama tofauti?kuna kupokezana hapo?sema hivi majizi yaliyokosa fursa ccm yafaidike yakihamihamia vyama vingine.lakini nakwambia heri majizi ya ccm kuliko yanayolazimisha kuiba kupitia nje ya ccm!
 
Mkuu naunga mkono hoja. Rostam 2005 alikuwa mhasibu ccm na walikubaliana aruhusiwe kuchukua pesa popote ili kufanikisha uchaguzi kisha pesa hizo zirudishwe kwa wao kupewa tenda na serikali ili wapate faida kama wafanya biashara. Kumbuka Shabiby wa Gairo alipewa tenda ya kusafirisha abiria baada ya treni kufungwa toka Dodoma hadi Dar alipiga pesa aliporudisha pesa yake treni ikafunguliwa pasipo matengenezo yoyote yaliyodaiwa hapo awali. Kimsingi hawa sio mafisadi ni wafanya biashara na serikali na hakuna mfanya biashara yeyote anayetaka hasara wanataka faida. Watawala chini ya ccm ndo wametufikisha hapa kwa sababu ya kutaka fedha toka kwa wafanyabiashara.
 
huo ndio ukweli wenyewe, tunachafua majina ya watu bure kwa kuwaita mafisadi wakati mafisadi wenyewe wapo. CCM itaibeba dhambi hii iwe kwa kujua au kutokujua kama inaibeba. Iache kuwanajisi watu kwa mambo ambayo wanayoyajua chanzo chake A to Z.
 
Back
Top Bottom