Kilembwe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,056
- 1,599
Che che che Sungura kamkaba tembo! kama we unajua hivi sisi nasi twajua vile! hehehe wait a moment, huyu Hussein Bashe anaenda kugombea jimbo la Nzega kule kwa selelii sasa vifaa vyake vya kampeni vilikuwa vinafanyi ofisini kwa Rostam? walewale! huyu hataenda bungeni kuwakilisha wananzega bali kuendelea kumtumikia Rostam ( nasema kuendelea kumtumikia RA maana hadi sasa Bashe ni muajiriwa wa New Habari Co-oporation!)