Wandugu,
Kuna habari nimezipata Hivi sasa kuwa Mh. Rostam Aziz ameachia ngazi CCM pamoja na Ubunge .... Mwenye Taarifa Zaidi atusaidie Jamani!
Mkuu, wewe ndio umeleta hii habari jamvini, halafu unaomba taarifa zaidi kutoka kwetu
foxxy..mi jina lako tu!!Kwani ana nyadhifa ipi kwa sasa CCM. Wacha kudanganya watu.
Wandugu,
Kuna habari nimezipata Hivi sasa kuwa Mh. Rostam Aziz ameachia ngazi CCM pamoja na Ubunge .... Mwenye Taarifa Zaidi atusaidie Jamani!
Source please???Wandugu,
Kuna habari nimezipata Hivi sasa kuwa Mh. Rostam Aziz ameachia ngazi CCM pamoja na Ubunge .... Mwenye Taarifa Zaidi atusaidie Jamani!
Mode, ili kuilinda heshima ya JF, naomba ipatie hii thread stahili yake mapema kabla ...!.
Hii ndo habari yenyewe, nimeongea naye anasema hakuna kitu cha namna hiyo
Hii ni habari za kizushi, anasema huu mchezo wa habari za kusadikika zinachezwa na
wanaccm wanzake hili kumchafua hasahasa katibu muenezi,
amesema "hii itasababisha chama changu kuwa hatari wakiendelea na mchezo huu" mwsho wa kunukuu
Wakuu ndo hayo tu