Rostam anafaa kuwa Rais 2015

Hiyo picha hapo Rostam akimuonyesha waziri mkuu maendeleo katika jimbo lake, Napenda kuwaambia watz wenzangu tuweke pembeni chuki za ubaguzi na Wivu, Hayo mambo ndio yanayoturudisha nyuma kimaendeleo, Kwa kweli huyu Rostam anafaa sana kuwa Rais wetu na anaweza kuiendeleza hii nchi kwa ufanisi mkubwa na kutuletea lukuki za maendeleo, miongoni mwa mambo ambayo yananipelekea kusema kwa kinywa kipana kuwa Rostam anatufaa sana, ni:-
1-Imebainika kuwa shutuma zote zilizoelekezwa kwake ikiwemo ya Richmond ni Majungu na uwongo wa kipumbavu!
2-Ni msomi aliyebobea
3-Ana msimamo, na ana vision kubwa kwa taifa letu
4-Ana uchungu sana na hii nchi, na amezaliwa Igunga
5-He looked very smart(see the photo) and is a man of principle
6-Umewahi kumsikia akiongea?...mpangilio mzuri wa hutuba na points zenye maana nzito
7-Amewasaidia watu wengi sana mpaka makanisani
8-n.k...n.k....n.k....n.k......n.k...............


huyu anafaa kuwa rais wenu nyie wenye hizo tabia mbaya za kimombasa.
 
Hayo maendeleo ya Igunga yako wapi, nimefika pale sijaona chochote, Siasa za kumbeba Rostam ni ulevi na upuuzi kwa wenye madaraka
 
huyu anavyopenda pesa si anaweza akauza hadi hewa then tupumue kwa kulipia
 
..sasa huo ndio ubaguzi wetu nilio ongelea, tuachane na huo ujinga, Angalia America wamempa urais Mjaluo, kwa sababu wanataka maendeleo, sio sisi tumekalia kuwa majelous

Waambie kwanza CCM wampe uenyekiti baada ya JK ndipo tutajua mko serious na Rostam kuwa rais wenu
 
TZ huwezi kuilinganisha na USA kwa sababu USA ni ya wahamiji kwa asilimia kubwa..PINDA alienda kumnadi na ili aukwae tena ubunge ambao anauhitaji mno kuliko hata jina lake ili alinde maslahi yake maana nje ya ubunge maslahi yake yanakuwa hatari. Lkn juu ya kampeni bado aliulizwa mbona haonekani jimboni? Kama Igunga haonekani akiwa pr. Atahamia wapi. bwabwa acha kutonesha donda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom