Rostam alizuia kiwanda cha Fertilizer kisijengwe Mtwara?

duh haise nimechanganyikiwa kabisa hivi huy mu ajemi binadam wa kawaida au jini? au ndo lini wingu zito lilowatisha shedrac,meshak na abednego? mbona kila biashara anafanya? hachuni kweli ngozi pia?
 
Back
Top Bottom