Rostam alizuia kiwanda cha Fertilizer kisijengwe Mtwara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam alizuia kiwanda cha Fertilizer kisijengwe Mtwara?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by K tea shop, Feb 19, 2012.

 1. K

  K tea shop Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  wana JF na wa TZ kwa ujumla

  Kuna uvumi umeenea hapa mjini kuwa Serikali na hasa waziri mkuu si mkweli kwenye hili suala la kilimo kwanza. Kwa sababu huwezi kupiga kampeni ya kilimo kwanza huku ma trekta yanaoza pale jeshini na pili na ambalo muhimu zaidi ni kuwa kuwezi kulima huku ardhi haina mbolea. na kumbe kuna watu walijitokeza kujenga kiwanda cha mbolea Mtwara ambacho kingeweza kuwa kikubwa kusini mwa bara la Africa na kingwezeka kusambaza nchi za Malawi, zambia, Msumjibi, Rwanda, Burundi, Kenyam Uganda, DRC na Sudan ya kusini bila kusahau visiwa vya komoro lakini kwa kusudi kuna mawaziri wakishirikiana na Rostam wanatuhumiwa kuwa hawakutaka hiki kiwanda kijengwe kule kwa sababu wao wanapata mabilioni kwa kuagiza mbolea toka nje ya nchi na kuizia serikali. Habari yenyewe imekaa kimkato mkato lakini JF mnasifika kuweza kuunganisha hizi story na kuwa kitu kamili. Je kama ni kweli hizi tuhuma hamuoni huu ni uhujumu uchumi? Je serikali inajibu vipi kuhusu hizi tuhuma za saboteji toka kwa maofisa wake ambao wamekuwa wakiukwamisha huuu mradi ? Kazi kwenu wana JF
   
 2. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  19th February 2012Posts : 1
  Rep Power : 0

  Ok..naona umejoin JF specifically kwa hiili tu..haya..kuchelewa kufa ni kuona mengi!
   
 3. K

  K tea shop Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  • [​IMG] Tbag Hatari

   Today 16:22
   #2 [​IMG]

   [​IMG]JF Senior Expert MemberArray


   Join Date : 1st July 2011
   Posts : 574
   Rep Power : 348


   [h=2][​IMG] Re: Rostam alizua kiwanda cha Fertilizer kisijengwe Mtwara?[/h]
   19th February 2012Posts : 1
   Rep Power : 0

   Ok..naona umejoin JF specifically kwa hiili tu..haya..kuchelewa kufa ni kuona mengi!


  je kuna ubaya kujiunga na huu mtandao na kuleta habari? Kuna masharti ya jamiiform nimeyakosea au nimeyavunja? naomba unijulishe ili wahusika wnirekebishe
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Nyie kila kitu kibaya ni Rostam. Hivi ni ngojera tuu na hakuna ushahidi wowote ule wa kuthibitisha kitu juu ya hili. Sidhani kama kuna ukweli juu ya hili
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  hakuna ukweli kwenye hili

  mambo ya kuharibiana tuuu
   
 6. a

  autopilot Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lisemwalo lipo
   
 7. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Wasikutishe mkuu. Wenye Hati Miliki ya JF wanafahamika, sisi wengine ni wazamiaji tu!
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  lizuia ili kikajengwe Igunga au sio?
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0

  mleta habari anadai kuwa kuna maofisa serikalini wanaingiza ma bilioni kuingiza Mbolea toka nje hivyo kiwanda kujengwa Tanzania ingewakosesha biashara

  imekaa sawa hiyo au wewe unaionaje?
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unamaanisha ata huu mchakato wa kuboresha muimbili ili waweze fanya upasuaji wa magonjwa ya moyo nao unapigwa vita ili watu waendelee kula ngawila za wale wanaoenda India kutibiwa?
   
 11. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  In Tanzania anything is possible
   
 12. MANI

  MANI Platinum Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,872
  Trophy Points: 280
  Mkuu kila kitu Tanzania kinawezekana wala usishangae !
   
 13. Hercule Poirot

  Hercule Poirot JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,195
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  Rostam anauza mbolea...
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mleta habari ana mapungufu ya uelewa, ajuwe kuwa hata kiwanda cha mbolea ni biashara pia. Na hao wafanya biashara ndo wanaamuwa na sio Serikali. Serikali imeacha zamani kujenga viwanda imewaachia watu binafsi na masirika na wao labda wawe wabia pale inapobidi.

  Kama unaweza hata wewe unaweza kuanzisha kiwanda cha mbolea. Unaweza kuanza kwa kufuga kuku kwa wingi, Kuku unauza, mavi yao ni mbolea nzuri sana, mayai yao unauza na kama watatoa maziwa na yenyewe yana soko zuri zana kwa ma sangoma.
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wacha mbolea anauza hata matango.
   
 16. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #16
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  We k tea shop usiwe unachanganya lugha kwenye kichwa cha habari,ina maana ulikuwa hujui FERTILIZER kwa kiswahili ni nini?
   
 17. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kuna biashara asiyofanya?
   
 18. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #18
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mi nashauri tuangalie zaidi content ya material yake aliyopost jamani... Pls.

  Mwisho wa siku,it is content that counts...
   
 19. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #19
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  We tupatie "chanzo" cha habari yako...

  Kwa kizungu,"source"..
   
 20. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #20
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hivi hichi ni kile kiwanda walichogombana Mh.Membe na Mzee wa nyoka wa mdimu ( Mudhihir)?? Si kilikuwa kijengwe Lindi Mjini badala ya Mchinga yanakopatika raw materials? just out of curiosity
   
Loading...