Dr wa ukweli
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 900
- 274
Hajala Ban...Yupo tu majukumu mengi atakuwepo soon
Unafahamu anashabikia timu gani kati ya Man U na Bwawa la maini aka Liverpool?
Kuna watu wanalumbana JF mpaka wachangiaji wengine wanaamua kuwa watazamaji tu
Ndo mimi nimeamua kutumia ID hii hapa, ulikuwa hujagundua tu, basi nitaitumia tena ile baada ya muda kidogo.
Mtumie PM akijibu utapata jua yuko wapi
pm not rechable long time
Aisee pole sana
Ndo mimi nimeamua kutumia ID hii hapa, ulikuwa hujagundua tu, basi nitaitumia tena ile baada ya muda kidogo.
Hata mi nimemmis Rose ana maneno sana ila haboi.
ial tabia yake mbaya anakimbia bila kuaga!
LD = Rose1980 ?? Haata mimi nimemmiss huyu dada!
nashukuru ila LD kaniambia ndio mwenyewe lakini nachelea kuamini
Ndo mimi nimeamua kutumia ID hii hapa, ulikuwa hujagundua tu, basi nitaitumia tena ile baada ya muda kidogo.