Wakuu, naona Rose Ndauka amejitenga na uchawa tofauti na wasanii wenzake, kwakweli tunahitaji wasanii wa aina hii Cc
Waufukweni
Kupitia Instagram page yake ameandika:
"Kwa yanayoendelea ningekuwa kiongozi wa Sekta husika ambayo watu wanailalamikia sana kama nimeshindwa kuboresha basi ningejiuzulu........
Ila pia kuna siku nilisema kusiwe na uchanguzi ili kusave hela nilisemwa sana mpaka nikashusha post yangu ila nilimaanisha uchanguzi uwe huru na wagombea wote waridhike kuweza kupata viongozi wananchi tunaowataka......
Kuna siku nitatamani kupiga kura ila kwasasa.......#MunguNilindeMiminaFamiliayang u msiojulikane mkae mbali na mimi"