Eti mziki wa injili? Ni bolingo!!! Nani kakwambia YESU anakatiwa viuno?? Msiige dunia bali dunia iwaige nyie.
Mhhh ongera rose mhando
Hahahaaa baambie baelezee.Sema Hongera Rose Muhando. I have said this before and I will repeat again for those who do not want to understand. All proper nouns begin with a capital letter. A person's name is a proper noun. Sema Asante Mwaalim
Sasa kama mziki wa injili siyo BOLINGO ni nini?
BOLINGO maana yake ni UPENDO kwa Kilingala.
Nimekupa maana ya neno Bolingo lenyewe alafu si muwe mnafocus kwenye ujumbe basi sasa nyie mmekazana kucriticise tu utafikiri yeye ndio kaanza kucheza na Mfalme Daudi mumuhukumu.Kwahiyo Roze mhando na Koffi olomide lao ni moja.Wote wanamfurahisha shetani.
Nimekupa maana ya neno Bolingo lenyewe alafu si muwe mnafocus kwenye ujumbe basi sasa nyie mmekazana kucriticise tu utafikiri yeye ndio kaanza kucheza na Mfalme Daudi mumuhukumu.
Wacha watu wamchezee YESU kama ni viungo na nguvu kawapa yeye wasio navyo wanatamani wangekuwa navyo wampe MUNGU sifa na utukufu cos ndivyo Bible inavyosema nyie wengine mnapinga tu.
ila sishangai kwani ndio athari ya mapokeo ya madhehebu tofauti.
Linafanyiwa kazi kama ndio akili yako inavyokutuma.Duh ina maana kwa kuwa mungu kawapa makalio basi kutingisha ruksa?..kama ndio hivyo mi naona wamuongezee na phd ili watuonyeshee na ch.pi kabisa tuburudishe bafsi maana mauno pekee hayatoshi