Utakua hujui watumishi wa mungu in wepi,toka mda mrefu na hata juzi hapa Singda wakati amelewa aliulizwa ww mhando ,iwaje upge gambe,utumie drug abuses na utapeli watu,akasema ofcoz nimekuwa nikifanyA gospel ila mm ni mfanya businessDah! Shetani anashambulia watumishi wa Mungu kwa kasi ya ajabu. Ona sasa alivyomgalagaza Rose Muhando!
Sad!Huyo mbona ni tapeli la muda mrefu..
Sikiliza ujumbe acha matendo yakeTulikuwa tunamwamini sana huyu dada na nyimbo zake murwaa, dadeki walahi!
Ahh wapi! Not me!Sikiliza ujumbe acha matendo yake