Rose Muhando akamatwa na polisi kwa tuhuma za kutapeli wanakwaya

Siku hizi ni kawaida yake.

Anapokea pesa za watu zinaishia kwenye sembe
 
kashaishiwa mbinu huyu nakumbuka show zake zlikua znaanzia milion 2 ..arudishe hio hela ya watu au tukamshitaki kwa baba askofu
 
Mungu amlinde katika kazi yake ,asimwache maana dalili za kupotea zinaonekana
 
Huyo kwanza alishaachuja (amefulia) na kwa uzoefu wasanii wa bongo wakishaafulia wakienda Kenya anapokelewa kama mfalme , hivyo namshauri aende zake Kenya hapa bongo atakufa njaa,, ila kama hizo tabia zake ataendelea nazo na huko watamtoa berenge
 
Huyu Rose niliwahi kusikia tuhuma za utapeli wake zaidi ya mara moja, itakua kweli anatapeli watu.
Pale dini inapotumika kama kivuli cha kutenda maovu
 
Hao mbona wako wengi sana dini siku hizi imekua ni biashara kubwa yenye faida,MUNGU anawashughulikia moja baada ya mwingine
 
Hiyo Dada sijui ndo tabia yake kuna cku nilikuwa mji mmoja huko DRC goma walimsubili sana kwani walikuwa na mwaliko huko lakini hakutokea!
 
Huyo kwanza alishaachuja (amefulia) na kwa uzoefu wasanii wa bongo wakishaafulia wakienda Kenya anapokelewa kama mfalme , hivyo namshauri aende zake Kenya hapa bongo atakufa njaa,, ila kama hizo tabia zake ataendelea nazo na huko watamtoa berenge
Mbona nshaisikia hiyo kuwa tayari ameshakamilisha taratibu zote za kuhamia Kenya!sasa sijui alikua ndio anamalizia kazi aloianza Tz kwanza mara aibu ikamkumba
 
Back
Top Bottom