Tokea mwaka 2015 ulikuwa mwanachama hair wa chama chetu cha mapinduzi na taarifa zangu hazionyeshi kuwa hapa katikati umewahi kuhama chama
Tangu kipindi hicho ukiimba nyimbo za kumpigia kampeni Mwagulu Chemba kwa kutumia nyimbo ulizotunga mwenyewe ili ateuliwe kugombea urais, haukuwahi kutangaza kukihama chama hiki.
Nimeona niweke sawa taarifa zinazogaa mitandaoni kuwa umejiunga na ccm Jana wakati tokea enzi nakujua wewe ni mwanachama wa ccm
Katibu c.c. M.