Ili apate ngada kwa bei rahisi, sio ndio kuna ma-supplier huko. Maana kwa huyu jamaa alivyowakalia wapinzani kooni kwa roho mbaya, kungekuwa ma muuza unga Chadema tungeshamjua zamani sana.
View attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.

jiunga kama unataka mambo yako yanyoroke.juzi tulipeleka viazi mjini basi kwenye fuso tulifunga bendera za ccm zikawa zinapepea kweli nakwambia njiani tulikuwa tunapita kama msafara wa raisi,polisi wanatupungia tu mikono hadi chalinze
View attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.
Baada ya kuugua muda mrefu na kuona biashara ya injili hailipi tena.
Yuko sawa amechanga vema karata zake kiukabili ukata uliokuwa umepiga kambi kwake.