Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,998
- 32,441
- Thread starter
- #41
Source of your information please otherwise nakuchukulia wewe na kamanda kova hamna tofauti!
Kuna mjumbe mmoja wa halmashauri kuu ya chama ambaye hakutaka jina lake litajwe yeye alienda mbali zaidi na akitaka Dr Slaa na Rose Kamili watimuliwe ndani ya chama kwa madai ya utovu wa maadili...
Alisema wapinzani wetu wanaweza kuanzia sasa hadi 2015 kwa kusema sisi viongozi wa Chadema si waadilifu katika ndoa na familia zetu kwa hiyo hatufai hata kuaminiwa na wananchi.
Watu wataanza kuhoji kama viongozi hawa wa Chadema wanashindwa kulea familia zao, je si watatugawa kwa vyeo kwa wake za watu kwa kuangalia uzuri wa sura zao badala ya kuangalia uwezo!
Alimaliza kusema kwa uchungu huyo mjumbe.