Rose Kamili kutimuliwa Chadema kwa kudai haki yake

Wanabodi.

Hali ya kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) sasa si swari baada ya baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho, wakiwemo baadhi ya wajumbe wa kamati kuu kushinikiza mbunge wa viti maalum, Rose Kamili asimamishwe au atimuliwe ndani ya chama kwa madai ya utovu wa maadili..

Nawashangaa wanaharakati wanawake ambao wamekuwa wakipiga kelele wakidai ni watetezi wa haki za kibadamu, kwa kimya chao hiki, tangu Rose Kamili afungue shauri lake mahakamani na kuweka wazi haki zake za msingi anazotaka alipwe na mzazi mwenzake hakuna hata mmoja aliyejitokeza ili kumpa msaada wa kisheria wala wa kulaani kitendo cha kuvurugiwa ndoa yake.

Hawa wanaharakati wetu tunawasikia tu pale jambo la kudhalilisha utu wa mwanamke linapotendwa na serikali, lakini linapotendwa na viongozi wa upinzani ambao kimsingi ni viongozi watarajiwa wa serikali, hukaa kimya kana kwamba hakuna jambo la kuudhi lilotokea ndani ya jamii ya Watanzania.

He!! siamini kama uzi huu umeletwa na wewe Ritz mkongwe wa Jf!! Habari yenyewe imekaa kiumbea mbea,
acha kujishushia hadhi bana kama huna la kupost si ukae kimya ili uendelee kuonekana kuwa ni Great Thinker?!!!!!
 
Kesi namba 4 ya mwaka 2012 ambayo iko mbele ya Jaji Lawrence Kaduli, imefunguliwa na Rose Kamili anadai pamoja na mambo mengine kwamba ndoa isifungwe sababu ipo ndoa ingine halali iliyofungwa mwaka 1985.

kwa hiyo?
 
Rose kamili ni mke wa Dk. Slaa mbona familia hii inaingiliwa sana au kwa sababu ni watu maarufu .... tumwache mama anadai haki yake
 
Acha uongo mkuu.Uongo ni dhambi kubwa mbele za Mungu.Mnatumia kila njia kujaribu kuvuruga CDM lakini naapa hamtafanikiwa.Msidhani watu tunazungumza tu hapana.Wengine tuko jikoni ndani ya chama.

Duh! kumbe chama chenu cha jikoni? mnnhhh, ndio maaaaana, ahsante kutufahamisha.
 
Kesi namba 4 ya mwaka 2012 ambayo iko mbele ya Jaji Lawrence Kaduli, imefunguliwa na Rose Kamili anadai pamoja na mambo mengine kwamba ndoa isifungwe sababu ipo ndoa ingine halali iliyofungwa mwaka 1985.

Ndoa isifungwe ipi,wakati mpaka sasa Josephine ni Mrs Slaa.kama ingekuwepo ndoa halali isingefungwa,
hivyo wana harakati hawawezi kuwa na muda wa kuchezea kwa kitu kilichopitwa na wakati,Rose alichezea
bahati yake hivyo atulie aone wenzie wanavyojua kutunza.
 
Ni sera ya ccm kwamba swala likisha kuwa kotini hatuwezi kulijadili hata kama haliingilii maamuzi ya mahakama, kwahiyo Sera yenu inawatafuna wenyewe ccm
 
Wanabodi.

Hali ya kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) sasa si swari baada ya baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho, wakiwemo baadhi ya wajumbe wa kamati kuu kushinikiza mbunge wa viti maalum, Rose Kamili asimamishwe au atimuliwe ndani ya chama kwa madai ya utovu wa maadili..

Nawashangaa wanaharakati wanawake ambao wamekuwa wakipiga kelele wakidai ni watetezi wa haki za kibadamu, kwa kimya chao hiki, tangu Rose Kamili afungue shauri lake mahakamani na kuweka wazi haki zake za msingi anazotaka alipwe na mzazi mwenzake hakuna hata mmoja aliyejitokeza ili kumpa msaada wa kisheria wala wa kulaani kitendo cha kuvurugiwa ndoa yake.

Hawa wanaharakati wetu tunawasikia tu pale jambo la kudhalilisha utu wa mwanamke linapotendwa na serikali, lakini linapotendwa na viongozi wa upinzani ambao kimsingi ni viongozi watarajiwa wa serikali, hukaa kimya kana kwamba hakuna jambo la kuudhi lilotokea ndani ya jamii ya Watanzania.

Haya kaka Rose kamili.
 
Duh! kumbe chama chenu cha jikoni? mnnhhh, ndio maaaaana, ahsante kutufahamisha.

Rudi darasani kajifunze kiswahili,kama mtu mzima hata huelewi kuwa jikoni ni mahali muhimu kunakoandaliwa
vitu muhimu,umepitwa na wakati.
 
Rose kamili ni mke wa Dk. Slaa mbona familia hii inaingiliwa sana au kwa sababu ni watu maarufu .... tumwache mama anadai haki yake

Acha porojo,mke wa Dr Slaa ni Josephine,"Ukisusa wenzio Twala"!!!!! baada ya kuona hamuwezi tena kuita Josephine
ni mchumba wa Slaa mmetafuta umbea mwingine."Imekula kwenu anzeni kujiandaa kutafuta mpya ya 2015!!!!!!!
 
Rudi darasani kajifunze kiswahili,kama mtu mzima hata huelewi kuwa jikoni ni mahali muhimu kunakoandaliwa
vitu muhimu,umepitwa na wakati.

Jikoni? ndio mlipo huko? mnaandaa vitu muhimu? kacumbari ya matango kwa chumvi mnaandaa hukohuko au? vipi kuhusu chachandu?
 
Wanabodi.

Hali ya kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) sasa si swari baada ya baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho, wakiwemo baadhi ya wajumbe wa kamati kuu kushinikiza mbunge wa viti maalum, Rose Kamili asimamishwe au atimuliwe ndani ya chama kwa madai ya utovu wa maadili..

Nawashangaa wanaharakati wanawake ambao wamekuwa wakipiga kelele wakidai ni watetezi wa haki za kibadamu, kwa kimya chao hiki, tangu Rose Kamili afungue shauri lake mahakamani na kuweka wazi haki zake za msingi anazotaka alipwe na mzazi mwenzake hakuna hata mmoja aliyejitokeza ili kumpa msaada wa kisheria wala wa kulaani kitendo cha kuvurugiwa ndoa yake.

Hawa wanaharakati wetu tunawasikia tu pale jambo la kudhalilisha utu wa mwanamke linapotendwa na serikali, lakini linapotendwa na viongozi wa upinzani ambao kimsingi ni viongozi watarajiwa wa serikali, hukaa kimya kana kwamba hakuna jambo la kuudhi lilotokea ndani ya jamii ya Watanzania.
Mwanabodi Ritz japo habari yenyewe inaonekana ya kizushi lakini imenivutia hapo kwenye bold kumbe unalitambua hilo..! Nataka nikukumbushe wakati wa kampeni za urais mwaka 2010 Dr Slaa alipofika Hanang alimpigia debe Rose na Rose aliposimama alimtetea Dr kwa uzushi wa ccm kwamba amepora mke wa mtu na kutelekeza familia yake sasa sijui kwa kesi hii unaitazamaje ukizingatia kauli ya Rose ya wakati huo.. kwa upande wangu yawezekana kuna mkono wa ziada kwenye hili.
 
Kama wanaharakati watajiingiza na kushughulikia matatizo ya ndoa hakika mtawachosha
 
WE ritz na wewe ni mmoja kati ya wale waliopewa viwanja na kina kova nini??
 
Rose Kamili ni mbunge kupiri chadema, ataendelea kuwa mpiganaji kupitia chadema. Endeleeni kupiga mboyoyo chadema inasonga mbele! 2015 Hanang kwa chadema, mbunge - Rose Kamili Sukum
 
Back
Top Bottom