Rose Kamili kutimuliwa Chadema kwa kudai haki yake

Source of your information please otherwise nakuchukulia wewe na kamanda kova hamna tofauti!

Kuna mjumbe mmoja wa halmashauri kuu ya chama ambaye hakutaka jina lake litajwe yeye alienda mbali zaidi na akitaka Dr Slaa na Rose Kamili watimuliwe ndani ya chama kwa madai ya utovu wa maadili...

Alisema wapinzani wetu wanaweza kuanzia sasa hadi 2015 kwa kusema sisi viongozi wa Chadema si waadilifu katika ndoa na familia zetu kwa hiyo hatufai hata kuaminiwa na wananchi.

Watu wataanza kuhoji kama viongozi hawa wa Chadema wanashindwa kulea familia zao, je si watatugawa kwa vyeo kwa wake za watu kwa kuangalia uzuri wa sura zao badala ya kuangalia uwezo!

Alimaliza kusema kwa uchungu huyo mjumbe.
 
MKUU Ritz pro chadema hawataki kusikia haya ila chadema inadidimia kwa sera zake za - umimi , ukanda , udini , ukabila .. these are what are known as facts. hawataki wanataka
 
Hao wanaoitwa wanaharakati huwa sina imani nao kabisa.

Uchaguzi wa Igunga mwana mama alidhalilishwa lakini hamna hata mmoja aliyepiga kelele.
 
Tatizo lenu ni ndoa ya Dr hamna lolote.

Ritz sio wana harakati tu ndio wanatakiwa kumsaidi rose ata wewe kwa nini haukumsaidia?
 
MKUU Ritz pro chadema hawataki kusikia haya ila chadema inadidimia kwa sera zake za - umimi , ukanda , udini , ukabila .. these are what are known as facts. hawataki wanataka

hayo yote uliyo yataja wewe ndio una yaeneza hakuna mwingine.
 
Kesi namba 4 ya mwaka 2012 ambayo iko mbele ya Jaji Lawrence Kaduli, imefunguliwa na Rose Kamili anadai pamoja na mambo mengine kwamba ndoa isifungwe sababu ipo ndoa ingine halali iliyofungwa mwaka 1985.

Sasa Ritz , haya Madai mbona hayaendani na Kichwa cha habari yako.
Unajua ukiwa ukiwa CCM haimaniishi kuwa ni lazima ufikiri kwa kutumia Makalio.
 
Last edited by a moderator:
Ritz hiv wewe ni uamsho mbona unaongea umbea mpaka kwenye swaumu? Una mke? Ntaka nije kutoa posa umbea hata kwa mkeo.
 
Sasa Ritz , haya Madai mbona hayaendani na Kichwa cha habari yako.
Unajua ukiwa ukiwa CCM haimaniishi kuwa ni lazima ufikiri kwa kutumia Makalio.

Umeuliza vizuri ngoja nikujibu mkuu, Uongozi wa Chadema wanataka kumtimua Rose Kamili kisa kafungua kesi mahakamani kudai haki yake...

Rose Kamili kasambaza nakala za hati ya mashtaka kwa Kadinal Pengo, Msajili wa ndoa na kwa Askofu Mkuu wa jimbo la Mbulu, Rose Kamili anataka kwanza Mahakama Kuu izuie kufungwa kwa ndoa hiyo na pili alipwe fidia ya Sh milioni 550...hicho ndicho kimemfanya Rose Kamili kutaka kutimuliwa Chadema kwa kumdhalilisha Dr Slaa.
 
mzee msekwa kasema chadema inanguvu kama iliyokuwanayo tanu, nape anaomba pesa kutoka kwa kikwete binafsi bila idhini ya chama,mukama alisema nape hajengi chama anajijenga mwenyewe, makamba alisema nape anakivuruga chama watanzania wankipenda sana chadema wakifanya uchaguzi hata kesho ccm watakufa kifo cha mende.
 
Tatizo lenu ni ndoa ya Dr hamna lolote.

Ritz sio wana harakati tu ndio wanatakiwa kumsaidi rose ata wewe kwa nini haukumsaidia?

Kuna shinikizo inasemekana wajumbe wamemwambia Rose Kamili kama hataki kujiuzulu kwa hiyari yake wataiomba kamati kuu imvue nafasi yake na ikiwezekana imfute uanachama kabisa kwa sababu amekidhalilisha chama mbele ya umma wa Watanzania waliokuwa wameonyesha nia na moyo kwa Chadema.
 
Wanabodi.

Hali ya kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) sasa si swari baada ya baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho, wakiwemo baadhi ya wajumbe wa kamati kuu kushinikiza mbunge wa viti maalum, Rose Kamili asimamishwe au atimuliwe ndani ya chama kwa madai ya utovu wa maadili..

Nawashangaa wanaharakati wanawake ambao wamekuwa wakipiga kelele wakidai ni watetezi wa haki za kibadamu, kwa kimya chao hiki, tangu Rose Kamili afungue shauri lake mahakamani na kuweka wazi haki zake za msingi anazotaka alipwe na mzazi mwenzake hakuna hata mmoja aliyejitokeza ili kumpa msaada wa kisheria wala wa kulaani kitendo cha kuvurugiwa ndoa yake.

Hawa wanaharakati wetu tunawasikia tu pale jambo la kudhalilisha utu wa mwanamke linapotendwa na serikali, lakini linapotendwa na viongozi wa upinzani ambao kimsingi ni viongozi watarajiwa wa serikali, hukaa kimya kana kwamba hakuna jambo la kuudhi lilotokea ndani ya jamii ya Watanzania.

Kwa hiyo we unasemaje?
 
MZEE MSEKWA KASEMA CHADEMA INANGUVU KAMA ILIYOKUWANAYO TANU,NAPE ANAOMBA PESA KUTOKA KWA KIKWETE BINAFSI BILA IDHINI YA CHAMA,MUKAMA ALISEMA NAPE HAJENGI CHAMA ANAJIJENGA MWENYEWE,MAKAMBA ALISEMA NAPE ANAKIVURUGA CHAMA WATANZANIA WANKIPENDA SANA CHADEMA WAKIFANYA UCHAGUZI HATA KESHO CCM WATAKUFA KIFO CHA MENDE.=Ritz;4314468]Wanabodi.

Hali ya kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) sasa si swari baada ya baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho, wakiwemo baadhi ya wajumbe wa kamati kuu kushinikiza mbunge wa viti maalum, Rose Kamili asimamishwe au atimuliwe ndani ya chama kwa madai ya utovu wa maadili..

Nawashangaa wanaharakati wanawake ambao wamekuwa wakipiga kelele wakidai ni watetezi wa haki za kibadamu, kwa kimya chao hiki, tangu Rose Kamili afungue shauri lake mahakamani na kuweka wazi haki zake za msingi anazotaka alipwe na mzazi mwenzake hakuna hata mmoja aliyejitokeza ili kumpa msaada wa kisheria wala wa kulaani kitendo cha kuvurugiwa ndoa yake.

Hawa wanaharakati wetu tunawasikia tu pale jambo la kudhalilisha utu wa mwanamke linapotendwa na serikali, lakini linapotendwa na viongozi wa upinzani ambao kimsingi ni viongozi watarajiwa wa serikali, hukaa kimya kana kwamba hakuna jambo la kuudhi lilotokea ndani ya jamii ya Watanzania.
[/QUOTE]

Kwa hiyo saizi wewe ni mfuasi wa Msekwa kila atakachosema wewe unikifuata...hujui siasa wewe.
 
hujaoa wewe fanya application unaweza ukamuoa wewe chadema mambo ya ndoa haviendani na siasa hayo yapeleke kwa mafisadi msekwa vs kawawa
kesi namba 4 ya mwaka 2012 ambayo iko mbele ya jaji lawrence kaduli, imefunguliwa na rose kamili anadai pamoja na mambo mengine kwamba ndoa isifungwe sababu ipo ndoa ingine halali iliyofungwa mwaka 1985.
 
Umeuliza vizuri ngoja nikujibu mkuu, Uongozi wa Chadema wanataka kumtimua Rose Kamili kisa kafungua kesi mahakamani kudai haki yake...

Rose Kamili kasambaza nakala za hati ya mashtaka kwa Kadinal Pengo, Msajili wa ndoa na kwa Askofu Mkuu wa jimbo la Mbulu, Rose Kamili anataka kwanza Mahakama Kuu izuie kufungwa kwa ndoa hiyo na pili alipwe fidia ya Sh milioni 550...hicho ndicho kimemfanya Rose Kamili kutaka kutimuliwa Chadema kwa kumdhalilisha Dr Slaa.
Je umeshawahi kujiuliza kuwa Rose alishafunga Ndoa na Dr Slaa am lah, kama YES, nini status ya Ndoa yao till now, Rose alikuwa wapi kipindi Dr Slaa anazunguka na Josephine kwenye Kampeni 2010.
Mkuu unajua sometimes kusema uongo na majungu plus unazidi kukiabisha chama chenu kuwa na wanachama Majuha.
 
LOWASA=RAIS HANA MAAMUZI MAGUMU NI MWOGA NA MPENDA MAKUU NA HAJAJUA KAMA YEYE NDIE RAIS HA HA HA

Kwa hiyo saizi wewe ni mfuasi wa Msekwa kila atakachosema wewe unikifuata...hujui siasa wewe.[/QUOTE]
 
kaduma ,apiyo,makamba,lowasa,msekwa wote wanona chama kinavyoelekea mwisho kawalaumu wale mkishatatua makundi lete siasa za kutaka kumuoa rose hatuna muda wa kujadili ndoa ya mtu tunataka mtueleze siku 90 zimekuwa miaka 90?
wanabodi.

Hali ya kisiasa ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) sasa si swari baada ya baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho, wakiwemo baadhi ya wajumbe wa kamati kuu kushinikiza mbunge wa viti maalum, rose kamili asimamishwe au atimuliwe ndani ya chama kwa madai ya utovu wa maadili..

Nawashangaa wanaharakati wanawake ambao wamekuwa wakipiga kelele wakidai ni watetezi wa haki za kibadamu, kwa kimya chao hiki, tangu rose kamili afungue shauri lake mahakamani na kuweka wazi haki zake za msingi anazotaka alipwe na mzazi mwenzake hakuna hata mmoja aliyejitokeza ili kumpa msaada wa kisheria wala wa kulaani kitendo cha kuvurugiwa ndoa yake.

Hawa wanaharakati wetu tunawasikia tu pale jambo la kudhalilisha utu wa mwanamke linapotendwa na serikali, lakini linapotendwa na viongozi wa upinzani ambao kimsingi ni viongozi watarajiwa wa serikali, hukaa kimya kana kwamba hakuna jambo la kuudhi lilotokea ndani ya jamii ya watanzania.
 
Watu wenye majungu utawaona tu...Wenzao tunaangalia namna gani tutapata kupindua sheria mbovu ya hifadhi ya jamii..wao wanaangalia personal life za watu..tena hata facts hawana! Nyumba zina mambo mengi jamani, mambo ya Ngoswe, aachiwe Ngoswe mwenyewe..

Hivi nani ni msafi kweli kweli katika mambo haya, kwenye jamii hii tunayoishi, ambaye akinyosha kidole kimoja kwa mtu aliye mbele yake, vitatu havitaangalia upande wake?
 
Sasa unataka kuolewa wewe au unatafuta mume kupitia kwenye mgongo wake ?

Wanabodi.

Hali ya kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) sasa si swari baada ya baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho, wakiwemo baadhi ya wajumbe wa kamati kuu kushinikiza mbunge wa viti maalum, Rose Kamili asimamishwe au atimuliwe ndani ya chama kwa madai ya utovu wa maadili..

Nawashangaa wanaharakati wanawake ambao wamekuwa wakipiga kelele wakidai ni watetezi wa haki za kibadamu, kwa kimya chao hiki, tangu Rose Kamili afungue shauri lake mahakamani na kuweka wazi haki zake za msingi anazotaka alipwe na mzazi mwenzake hakuna hata mmoja aliyejitokeza ili kumpa msaada wa kisheria wala wa kulaani kitendo cha kuvurugiwa ndoa yake.

Hawa wanaharakati wetu tunawasikia tu pale jambo la kudhalilisha utu wa mwanamke linapotendwa na serikali, lakini linapotendwa na viongozi wa upinzani ambao kimsingi ni viongozi watarajiwa wa serikali, hukaa kimya kana kwamba hakuna jambo la kuudhi lilotokea ndani ya jamii ya Watanzania.
 
Aisee hii ya leo kali? No wonder mnalazimisha hata wasiokuwa waislamu kushinda na njaa! Aliyesema NJAA kitu kibaya hakukosea kabisa.

Askofu Dr. Slaa anao UWEZO wa kumuweka mtu (Askofu mwenzake) ndani? Tena bila hata ya kumfikisha mahakamani?!. To make the story more interesting Maaskofu wote katika Story hii wametajwa majina, lakini huyo Askofu aliyewekwa ndani jina lake halitajwi popote!

Kama Maaskofu wana UWEZO wa KUSWEKA watu ndani. Kesho nitamuomba Mwadhama Polycapy Kardinali Pengo umuweka LOCK UP Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutuibia pesa zetu za EPA.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom