Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Sioni Fergie akimuuza Uingereza, maana atakuwa anawapa nguvu wapinzani labda kama atanunuliwa na West Ham.Perfomance yake ilikuwa mbovu akaenda kuongezea na skendo sasa akili yake ijatulia anategemea nini? Ferguson alisingizia kaumia kwa ajili yakulinda heshima kuliko angesema kapwiga bench kwa vile yuko chini ya kiwango na anahitaji kutuliza akili.Rooney kaona bora kumuumbua Ferguson kwamba hakuwa na injury sasa haya ndio matokeo yake.
sasa tusubiri tuone anaenda wapi,na akifanya mchezo ndio mwisho wake labda habaki uingereza.
Rumor (in Manchester) has it Wayne wants to go to Man City kwa sababu ndio wanaweza kumuoffer hela anazotaka kwa wiki... Partnership ya Rooney na Ronaldo inavutia kwa hiyo Madrid wanapewa nafasi kubwa ya kujaribu kumsajili, however fununu nyingine ni kuwa kunaweza kukawa na swap deal kati ya Rooney na Torres. Mpaka Rooney atakapotamka wapi anataka kwenda tutaendelea kuspeculate tu.Sioni Fergie akimuuza Uingereza, maana atakuwa anawapa nguvu wapinzani labda kama atanunuliwa na West Ham.
united till i die
UNITED till i DIE
Baada ya press conference ya SAF, banner yenye picha ya Rooney ikaanza kutelemshwa.
He is too young for Chelsea, ngoja tuanze kutafuta replacement TORRES/DZEKO/SUAREZ watatufaaMkuu,
hatutaki masalia aisee!
Aende tu, tunao ma-striker wazuri wanaofunga magoli...kwanza anachelewesha mpira sana!