Rooney kweli kawamaliza, duh!

wachezaji na wasanii wana ushawishi mkubwa kwa jamii sioni tatizo la jamaa tatizo la watanzania ujuaji mwingi mnakosoa hata furaha ya mtu kuna watu walizimia kumuona michael jackson tena ngozi nyeupe

pele na maradona vipi ushawishi wao achilia mbali ronaldo na mess
 
Acheni kujidhalilisha watanzania, hivi huyo rouny ndo nani nchi hii? Dume zima sijui halina shule, mnatia hasira hasa
 
Yaani huyu alivyomzimia rooney ni sawa na james delicious alivyomzimia jux. Bwabwa tuu wala siyo ushabiki huo.

Sent from iphone 7 plus


kila wazo lako limejaa mawazo hasi tu unawaza mabwabwa tu hujui kama mchezo wa soka ndo mchezo unaopendwa zaidi na watu dunuani ujuaji tu ndo mana hata taifa staz inaishua comoro kila mtu mwalimu
 
Acheni wivu, HUYO NDIO MTANZANIA WA KWANZA KUMKUMBATIA ROONEY, NANI MWINGINE? wanaosema rooney ni nani, huyo ni mchezaji aliokua man united alikua anakunja kibunda cha 300k kwa week zaidi ya mil 670 kwa week.. hizo ni level nyngne kaja hadi temeke jamaa kaona ajitose

sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Vitu vya kawaida hvo ata wazungu wenyewe wanafanya saana hyo mambo

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo kama wazungu wanafanya na sisi tufanye????
 
Vitu vya kawaida hvo ata wazungu wenyewe wanafanya saana hyo mambo

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app


Lakini kwa wao wenyewe na siyo kwa Mwafrika, tena ni kwa watu wa nchi zao, Rooney hawezi kusujidiwa kukumbatiwa hiyo nje ya nchi ya Uingereza, isipokuwa Afrika!
 
WATANZANIA KWA KUDHARAURIANA MBONA MAMBO HAYA WANAFANYA KILA MAHALI DUNIANI INGAWAJE SIO VIZURI
 
Wanaume wengi wa Tanzania ukiwemo mtoa mada mna wivu wa kike kuingilia furaha za watu...

Watu wanakufa kisa ushabiki wa mpira seuse kumkumbatia Rooney?!.….vitu vingine kawaida sana

Mimi nakushangaeni nyie mnaomshangaa huyo mshabiki wa Rooney/Manchester United
 


Lkn tofauti ni wao kwa wao, huyo Rooney siyo wetu hivyo ni ajabu kwa mtu ambaye hata hajui kuandika Everton achilia mbali hata kujua ilipo kwenye ramani kumpapatikia Muzungu namna hiyo!
 
WATANZANIA KWA KUDHARAURIANA MBONA MAMBO HAYA WANAFANYA KILA MAHALI DUNIANI INGAWAJE SIO VIZURI
Je huyu alieingia uwanjani akamuabudu messi kama mungu kwa sababu ya ushabiki ingekua huyu jamaa aliemfata rooney kafanya hvyo simngeongea mwaka mzima


sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…