Mamlaka za juu wamesema aachiwe huruHivi huyu jamaa alipata dhamana?
Huyu hata kutoa 071... yupo tayarDume zima kushikwa kiuno na dume mwenzio......
Ushabiki Wa kijinga kama ni Mme wangu nampa likizo ya miezi mitatu .Huyu hata kutoa 071... yupo tayar
Sio wote bna huyo tu na mapepe yakeSasa utatoa likzo kwa Wanaume wote, kwa maana Wanaume wa Tanzania wote wako hivyo, kama huyo!
Mwenzenu alivyotoka hapo hakuoga...Ukute hata kibarua hana na shule ilimshinda
Mwenzenu alivyotoka hapo hakuoga...
Sasa hivi kitaani kwake anamtoza kila mtu buku buku kwa kila anayehitaji kumkumbatia maana bado ana ile harufu ya Rooney...
Usisahau kutuomba radhi mkuu wanaume wa kitanzaniaSasa utatoa likzo kwa Wanaume wote, kwa maana Wanaume wa Tanzania wote wako hivyo, kama huyo!
NI MAWAZO YAKO YALIYOCHAFUKA TUDume zima kushikwa kiuno na dume mwenzio......