Bora umpewa chumba.Mzumbe ya Morogoro kama hospitali ya temeke
Niliwahi kukuta jamaa kalala kitandani kwangu mchana akaamka nikamuuliza babu vipi tena, akaniambia kaka we una kitanda mi kupumzika kupumzika mchana tu una maindi basi nipe kiwe changu mi nikubebe semista nzima!!! Alikuwa ni mshikaji wa mate wao wakisoma UCLAS
Nikacheka sana ila kwa masikitiko basi jamaa akiwa kachoka anakuja na shuka lake pale anapumzika usiku anasoma tu yule msela...baadae akaomba kuweka na begi chini ya kitanda tukawa tunaishi mtu tano rum moja block C pale ye akawa analala kitanda ambacho hakina mtu wote tukiwepo analala ma mshikaji wake!!!!
Leo imebaki stori kama hivi. Dogo akasome maisha ya chuo mapito tu!!!
Si mpange jaman
mbeya university of science and technology...nilikuwa nasoma join instruction yao hawa jamaa...nilipofika kwenye mambo ya hostel nikachoka....eti chumba watu 8. jaman ...,kama watoto wa secondary....kumbe ni watu wanaosomea shahada....
Sio huko...miaka hiyo mi nlikuwa sekondari bado
Daah inatia simanzi,kuna watu wanasoma kwa shida sana
Aisee yaani 2006 ulikuwa secondary???!!!
Uanze kuamkia asubuhi mchana na jioni aseee!!!!